Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu waungwana? Leo naja kusema na akina dada munatuuwa bure wanaume kwa hakika mutabaki kua wengi kwa Visa vyenu maana munatuuwa sana wanaume mwisho wa siku kuna hatari ya kua peke yenu...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wapendwa,,, nimeshindwa kumuelewa huyu dada, kila tukichat tunachati vizuri sana, salamu kama kawaida na maneno mengine anajibu fresh tu kabisa, ila nikimuandikia kwamba nampenda, anacheka...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Wakuu habari za muda. Kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu,wanaochepuka wanaanzisha nyuzi zao mbali mbali kusifia mambo yao hayo huku wakiwatamanisha wasiochepuka waanze mchezo huo. Sasa...
12 Reactions
61 Replies
5K Views
Hii ni hatari wakuu, hii kitu haiwezi kuwa na athari za kiafya hapo baadae kweli? Hii ni mara ya tatu natumia, mwanzo nilikuwa sijagundua. Nimegundua kuwa siku ninazotumia huwa nafanya kazi usiku...
9 Reactions
138 Replies
45K Views
Enyi mlio kwenye mahusiano, Nini hukujia akilini mwako mwenzi wako anapokuambia anasafiri siku fulani, iwe kikazi, kuhudhuria misiba au matukio mengine ya kijamii kama harusi n.k..? Laiti tungejua...
1 Reactions
2 Replies
934 Views
Habari. Wakuu naamini kila mtu ana sex principles zake,mimi nikisex na manzi Kuna ishara nikiziona Basi najua ni type au lah. Twende kwenye Mada sasa. Huyu Msupa day one nakutana nae(kimwili na...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
1. Patience 170,600 2. Esther 7,200,000 3. Margret 280,000 4. Joy 90,800 5.luch 1,500,000 6. Victoria 1,300,200 7. Maureen 4,600,000 8. Juan 820,000 9. Charity 3,200,000 10. Irene 620,000 11...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Msamaha ni jambo lenye nguvu sana. Msamaha ndio nguzo ya mahusiano yote duniani. Hata uhusiano wa Mungu na binadamu umejengwa kuzunguka msamaha kwa sababu binadamu tu viumbe wakosefu. Katika...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Amakweli tembea uone...., nimekutana na watu mbalimbali ambao wanalala vibaya kitandani mpaka unaweza amua kulala chini upambane na mbu, umpishe kitanda cha size yeyote ile alale peke yake...
1 Reactions
71 Replies
6K Views
Habari za majukumu waungwana wachache mliobarikiwa kuiona siku hii ya leo.. Hivi ni kweli kwamba kuna watu wapo kwenye mahusiano na hawa cheat (hawachepuki) yan both of them are totally committed...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hakika ni mateso bila ya chuki kuwa na mchepuko. Simi isiite, Meseji isiingie. Presha juu juu. Yaani hakuna hata raha ya maisha kwakweli. Simu ikiita usiku, ukaipokelee bafuni tena mke akiwa...
17 Reactions
63 Replies
6K Views
Habari wana MMU; Leo katika pita pita zangu huko na huko gafla nilikutana na manesi wa hosptali fulani ya serikali,wao walikuwa kwenye zoezi la upimaji wa virusi vya ukimwi kwa wanawake...
5 Reactions
142 Replies
36K Views
Kwa maoni yangu naona napata raha sana wakati wa msuguano nikiwa nagegedana na wala si wakati wa kufika kileleni. Nyie wenzangu wakati gani mnapata raha?
2 Reactions
34 Replies
10K Views
Wadau pombe imekua ikinitesa mda mrefu sasa,imenirudisha sana nyuma kimaendeleo,wanawake wananikimbia na wakati mwengine nashindwa hata kufanya kazi zangu pia network zinakata na najikuta natukana...
15 Reactions
156 Replies
13K Views
Habar zenu wakuu Takriban kwa mda mrefu sana nilikua naishi kiunafiki kabisa kufake relationship status yangu kwa sababu tofaut ambazo ni ziite kua ni za kijinga Nilikua napata tafakar kuhusu...
10 Reactions
41 Replies
4K Views
Kumekuwa na imani nyingi sana potofu kwenye mapenzi kwamba ukidate na mtu muda mrefu unamchoka unatafuta mwingine. Jaman hizi habar sio za kweli zipuuzwe, mimi nilikuw ni mhanga na hapo before...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Wadau mwanamke anayeingia kwenye ndoa na mume wa mtu nakuhakikisha mke halali achwe uolewe wewe. Mke wa mtu ateswe wewe ufurahi wewe ninani unazaa na mume wamtu unajiita mke wa mtu na wewe. Hivyo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Epuka kujifikiria mara mbili mbili ndugu... Usione huruma wanawake wanabadilika kama kinyonga...Roho ikikuambia acha, piga chini nakuambia piga chini faster hakuna kuremba. Kuna manzi ilibidi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naandika haya nkiwa na huzun kubwa,naomba tu nijitambulishe kuwa mm si mfanyakaz wa umma ila kwa kwa mtizamo wangu ulio chanya kabixa naona kuna underground movement kubwa especial kada ya ualimu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni miaka kadhaa karibia mlongo mmoja kwenye ndoa, watoto wawili wa jinsia zote Mungu kajalia tumewapata. Nyumba na Gari vyote tumejaaliwa katika ndoa yetu, Biashara inakuwa kwa kasi sana kiasi...
12 Reactions
315 Replies
30K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…