Wewe sio type yangu nimepima nimeona

Wewe sio type yangu nimepima nimeona

thA goD

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
1,943
Reaction score
1,857
Habari.
Wakuu naamini kila mtu ana sex principles zake,mimi nikisex na manzi Kuna ishara nikiziona Basi najua ni type au lah.
Twende kwenye Mada sasa.

Huyu Msupa day one nakutana nae(kimwili na kiakili) kwanza tumepata dinner ya nguvu pale Elegance Hotel Sinza kwa wajanja naingia boothe manzi achezee mic kwa stage nashtuka nimesahau simu kwa table (hii ni dalili mbaya nafupisha)
Second time ni ghetto kwangu after kumuingiza huyu manzi boothe namaliza namsindikiza nashtuka nimegeuza shati katikati ya mtaa(hii nayo ishara mbaya)
Mara ya Tatu namtimbia kwake tuna refresh tunaingia boothe kama ilivyo Ada aaaayii hii ya leo ikawa kiboko nahofia kuanika hapa.
Wakuu share nami unatumia vipimo gani kujua ni type yako au lah!?
 
Mzee baba... Umekolezwa hadi wasahau kuvaa shati vizuri halafu wasema ni ishara mbaya kwako... Aisee
 
Habari.
Wakuu naamini kila mtu ana sex principles zake,mimi nikisex na manzi Kuna ishara nikiziona Basi najua ni type au lah.
Twende kwenye Mada sasa.

Huyu Msupa day one nakutana nae(kimwili na kiakili) kwanza tumepata dinner ya nguvu pale Elegance Hotel Sinza kwa wajanja naingia boothe manzi achezee mic kwa stage nashtuka nimesahau simu kwa table (hii ni dalili mbaya nafupisha)
Second time ni ghetto kwangu after kumuingiza huyu manzi boothe namaliza namsindikiza nashtuka nimegeuza shati katikati ya mtaa(hii nayo ishara mbaya)
Mara ya Tatu namtimbia kwake tuna refresh tunaingia boothe kama ilivyo Ada aaaayii hii ya leo ikawa kiboko nahofia kuanika hapa.
Wakuu share nami unatumia vipimo gani kujua ni type yako au lah!?
Umeandika kihuni mnoo. Andika kwa kiswahili fasaha.
 
Watoto wasikuhizi wanatoa wapi pesa za smart phone?
Tengeneza uzi wako mkuu utajua tu hata mdogo wako yule wa kike shule sekondari kichangani anayo tekno wereva.
Labda niseme tu WAHUNI SIO WATU WAZURI.
 
Hapo ulitaka kuandika kiswahili fasaha lakini bado ukawa kahunihuni hivi. Hebu "nyorosa" kiswahili hicho boss wangu.
I ain't bossing to no street boys.
Mkuu neno kahunikahuni linadhihirisha familia unayotokea.
 
Back
Top Bottom