Enyi kinadada na kinamama tuambieni kwanini kuna urafiki mkubwa sana kati ya wanawake na wanaume mashoga?
Unakuta mwanamke kaongozana na mashoga,unakuta mke ndo unarudi kutoka kazini kakaa na...
Bifsi nimekuwa nawashangaa wanaowaacha wake zao kwakuwa tu kamfumania. Halafu cha ajabu yeye yupo na mchepuko mke wa mtu ambae bila shaka yoyote hadi alfajiri jamaa kajipigia halafu saa 4 anapewa...
Pamoja na kwamba kudanga ni utamaduni ama biashara kongwe nchini na kwingineko, asee kwa miaka hii ya karibuni KUDANGA kumekuwa kama LAZIMA kwa Dada zetu. Yaani mtu anadanga utadhani chakula.
*...
kasi ya kuvunjika kwa ndoa imekuwa kubwa mno hasa hawa vijana wetu wanaoingia kwenye ndoa wakiwa na umri mdogo wengi ni wale walio chini ya umri wa miaka 30
nimeshuhudia ndoa zaidi ya 9...
Kwenye simu yako ya mkononi, mchepuko wako wa kike/kiume umeuandika jina gani ili mmeo/mkeo asiutambue? Mimi nimeupa jina BOSS WANGU, tena akipiga simu nikiwa na mke wangu, wakati wa kupokea...
Habari za wakatii huu wadau.
Nimeipata sehemwu nikaona sio mbaya nijashea nanyi mkupata kujua wanawake walivyo watu wa ajabu....
1. Anaevaa mini-skirt halafu akikaa mahali anahangaika kujiziba...
imekuwa ni kasumba kuona mwanaume anaanza kufa kabla ya mke wake, na kama walikuwa na mali mke atalia wiki moja tu baada ya hapo ni kuzitumbua mali alizochuma na mmewe pamoja na Viben-ten wake...
Baada ya kuachana na yule mchepuko wangu wa chuo niliyegundua anatoka na dogo niliyekuwa nikiwasaidia wote nilitulia na wife kwa muda
Baadae ikabidi nianze kutafuta replacement( wanafiki wengi...
habari wana mmu,
jamani swala kutongoza ni kama sayansi ya maneno kuya pangilia ,japo wengine ndio uwanja wao haswa! na wengne ndio huboronga kabisa kupelekea kukataliwa.
kwa upande wa dada zetu...
She lay in her cozy lounge one lazy Sunday afternoon watching her phone ring wondering whether to answer it or not until the caller hung up. Only to redial again. It was Moosa her best friend...
Habari zenu
Ni kijana wa miaka 26 anamtafuta that one lady,my queen,la'azizi kitulizo cha moyo wangu.baada ya kukaa mda mrefu bila mahusiano yoyote kutokana na maswahibu mbalimbali ya...
Tulisafiri na jirani yangu tukitokea Morogoro, tulifika wote Kibaha lakini baada ya hapo siku muona. Nilifika nyumbani salama, nilipitia kwa Mangi nikikumbuka nyumbani sukari ilibaki kidogo, pale...
*Jamani Raha ya mke ili ikamilike ni pale atapokuletea zawadi kubwa ya pekee ambayo ni mtoto,
*Nikifikiria Miezi 9 ya ujauzito
*Nikikumbuka Tabu alizopitia kipindi hicho
*Kubwa kuliko Siku ya...
Tabia yake ya kukagua kagua simu yangu
Kusikiliza maneno ya watu
Kunilazimisha kupima
Nimekosa mood kabisa hata ya kumgegeda ,nimetokea kumchoka ghafla kutokana na huu utovu wake wa nidhamu...
MKE: Naomba nilipe hela ninayokudai
MUME: Hela ipi mke wangu unayonidai?
MKE: Wiki iliyopita nilitumia hela yangu kumnunulia Sara madaftari, halafu juzi Rama alikuwa anaumwa nikamnunulia dawa...
Mwanaumee kuwa katika mahusiano yamkini na dada Fulani uliyempenda then dada Yule anaanza mikato fulani sio kama kukupeleka peleka kama mbuzi Halafu jamaa zako wa kawaida hawakushauri chochote...
Jana wakati tunapiga piga story na masela nikamkumbuka man fongo na hii ilitokana na story tuliyokua tunaizungumzia ya ushemeji
Sasa member mmoja akanisema man fongo kafungwa miaka 30 kisa kampa...
Habari zenu,
Naomba niwashukuru kwa michango yenu katika uzi wa Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa wote ambao mlishiriki nami kwa njia moja au nyingine, kunishauri na kunifariji...
Nimebahatika kutembelea sehemu mbali mbali zenye makabila tofauti Tanzania; Nimejitahidi kuwa mchunguzi kwa kushuhudia na kuongea na ndugu, jamaa na marafiki walio katika ndoa!Nimegundua wanaume...
Wakuu naomba kujua kwa mara ya kwanza mdada alipokwambia ni mjamzito nini uliwaza/nini ulifanya
Kwa wanawake mara ya kwanza ulipogundua ni mjamzito nini uliwaza/ulifanyaje