Enzi za zamani kama mdada alikuwa anakuzingua sana mgumu kutoa basi unasubiri akizaa tu.
Yaani akizaa utamkuta ananyonyesha unajifanya kupiga story kumbe unachungulia manyonyo yake. halafu...
A Woman With A Beautiful Body[emoji177][emoji126]
Is Good For A Night, no doubt.[emoji362][emoji992][emoji437][emoji362][emoji992]
But A Woman With A Beautiful Mind is Good 4 A...
Wadau weekend imekaaje?
Najiuliza tu kati ya haya makundi mawili ni wapi huweza kuwa WANAFURAHIA zaidi MAPENZI kutoka kwa WENZA wao.
Je waliondani ya Ndoa au Walionje ya Ndoa?
Kundi lipi kati ya...
Yani kitu kidogo tu.. Prererr preerrr prre peche haziishi,
Sasa ukutane na demu mfupi ndio utajuta,hasa hasa wale wafupi alafu wamenenepa round[emoji41] mwanzoni vinakuwaga vipole ila sasa...
ANGALIZO:
bandiko hili liwe chachu kwa watu wote hasahasa wanawake wanaopenda maendeleo ya kielimu.
nimeileta mada hii MMU kwasababu naamini hili ndio jukwaa linalotembelewa sana na wanawake hapa...
Wadau Leo nimetoka kuchat na shemeji yenu ambae tumedumu miaka 5 ya uchumba.
Kila mru akiishi geto lake leo ktk chatting zetu , mtoto imebidi afunguke amechoka kukaa uchumba kwa muda mrefuu...
DAVID: Beni Mshikaji wangu, mwezi wa nane nitafunga Ndoa. Me Ninaoa sasa.
BENI: Haa David, wewe na Monica Mnafunga Ndoa?
DAVID: Ndio Man, nimeamua nioe. Niko tayari sasa.
BENI: Mbona fasta hvyo...
Kuna kiumbe niko nae hapa nimepiga sana Usiku huu naona kalala chakali kachoka na mimi nataka nipige kimoja cha Asubuhi niamke niende majengo nikachukue gunia za viazi,
Sasa sijui nimuombaje ili...
Habari!!
MIMI NI MWANAUME WA MAKAMO.
NAISHI DAR ES SALAAM.
UMRI WANGU,NAKARIBIA MIAKA 50.
NINA UREFU WA FUTI 5 NA INCHI 7(SM 170).
MAJI YA KUNDE.
MWEMBAMBA.
Nimejitokeza hapa kutafuta mwanamke...
Uzuri huvutia wanaume, ila busara pekee ndio itakufanya udumu katika mahusiano. Ushawishi unaweza ukadaka utulivu wa mwanaume ila akili yako kubwa inaweza ikafanikiwa kumshawishi.
Malalamiko...
Ndugu zangu wana jukwaa habari ya wikiendi poleni na majukumu. Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu , mimi nikijana wakitanzania nimeleta mada hio hapo juu kama inavvyo onekana kwa...
Zamani wadau wanaume walikuwa wanahonga kabisa na wala hawana hiyana ya kuongopea bia kwa sana wanawake zao wana mambo mengi kibao ila sasa wanaume wanahonga ila kwa shida sana.
Labda aruke...
Wadau sijui kwanini wanaume wanapenda wanawake zao wadogo kushinda wakubwa wanawajali sana kuliko wake zao wakubwa shida nini?
Ningependa tujadili hili jambo wenye ndoa zao wanalalamika sana.
Pamoja na mikiki mikiki yote ya maisha lakini tenga muda wa kuwa mtamu. Angalau kwa wiki mara moja tafuta siku ambayo mwanamke unaamua tu kuwa mtamu, huna kisirani, hulalamiki, unaweka shida...
Nawapa pole wanaume mnaotoa hela zenu na kuwapa wanawake kwa sababu tu ya mapenzi.Akiwa mkeo sawa ukimpa pesa sistaajabu Ila Kama Ni mipango ya kando michepuko halafu unaihudumia maisha yao na...
Nawasikia Mara nyingi wanawake wanasimuliana bila haya Wala uwoga kuhusu matukio na tecnique za Mambo ya kudanga.unakuta anawahadithia mbinu zote za kudanga.sasa Cha ajabu mpaka wanawake niliokuwa...
Nmetizama wanawake wengi siku zao za kuolewa wanakandwikwa na kupakwa maudongo, unga unga na michoro ya wanja usoni mpaka wanatia kichefu chefu.
Unamwangalia mtu usoni na mikononi hamna...
"Kila Aguswaye na Penzi Huwa Mshairi" - Plato,
.
.
My dearest Evelyn Salt ,
.
.
.
I LOVE YOU!
.
I love you like the last meat in the pot,
Yaani ninakupenda kuliko mchaga na noti.
.
.
I love you...
Leo ndo weekend inaanza na kama kawaida viwanja kwa jiji letu la dar ni vingi ila kuna kile uwezi kutamani kuacha kwenda na hela yako unayotumia eneo hilo unaona kabisa haijapotea....naomba...