Kuna wanawake wanajua kuongea

Kuna wanawake wanajua kuongea

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
2,307
Reaction score
3,447
Yani kitu kidogo tu.. Prererr preerrr prre peche haziishi,
Sasa ukutane na demu mfupi ndio utajuta,hasa hasa wale wafupi alafu wamenenepa round[emoji41] mwanzoni vinakuwaga vipole ila sasa mkishazoeana, Yani ukifanya kosa kidogo tuu anaona kama umemdharau, Yani ataongea ata wale wafanyakazi wa Aim global na Qnet hawaoni ndani

Balaa lingine ni hawa wembamba.. Ni wabishi hawa[emoji41][emoji41] alafu wanavojiamini sasa.. Na hawa bora waongee maana kama uko mbali alafu akupigie simu usipokee, iyo message ataandika ni ndefu utazani hotuba ya Zitto kabwe inayohusu Ufisadi Tz...

Kitu nawapendea hawa mademu wako romantic sana
Screenshot_20190524-113306.jpeg
 
Hapo kwa wembamba huwa nasikia wana wivu wa kimapenzi hata wa kumnyonga mtu ..akimpenda lijamaa then wengine wakitaka kujiingiza anakuwa kama Chui
 
Ile license agreement kuna wanoko wanaisoma yote, hakuna kuleteana mzaha kwenye mambo ya msingi
 
halafu hao wafupi kwa kitanda watamu mno.....utafikiria hawajui kuongea......huwa wanaongea kwa ukali uliopoa....watamuuu na wanajua kupika hao....nakushauri we mpende tuu
Hapo ndio ninapo wapendea kwakweli..
 
Back
Top Bottom