Walio kwenye NDOA Vs WASIO kwenye Ndoa?

Walio kwenye NDOA Vs WASIO kwenye Ndoa?

Akili Pesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
617
Reaction score
854
Wadau weekend imekaaje?
Najiuliza tu kati ya haya makundi mawili ni wapi huweza kuwa WANAFURAHIA zaidi MAPENZI kutoka kwa WENZA wao.
Je waliondani ya Ndoa au Walionje ya Ndoa?
Kundi lipi kati ya hayo huweza kuwa satisfied na kufurahia zaid mapenzi?
Karibun Tujadili.
 
Tulio nje tunafuraha zaidi mkuu, hawa waliopo kwenye ndoa kuna siku unaweza kupishana nao wanaongea wenyewe utafikiri kuna mizimu wanasema nao kumbe stress za mama chanja nyumbani
 
It depends on your age, na majukumu yaliko mbele yako
 
Zero IQ hta walionje wanakuwa na stress bhan sio waliondan tu. [emoji23]
Tulio nje tunafuraha zaidi mkuu, hawa waliopo kwenye ndoa kuna siku unaweza kupishana nao wanaongea wenyewe utafikiri kuna mizimu wanasema nao kumbe stress za mama chanja nyumbani
 
Furaha ni jinsi mnavoitengeneza nyie wenyewe(kwa wenye mahusiano)...ndoa sio source ya furaha na kuwa nje ya ndoa sio source ya furaha vilevile..unaweza kuwa kwenye ndoa ukawa super happy and vice versa.
 
Wadau weekend imekaaje?
Najiuliza tu kati ya haya makundi mawili ni wapi huweza kuwa WANAFURAHIA zaidi MAPENZI kutoka kwa WENZA wao.
Je waliondani ya Ndoa au Walionje ya Ndoa?
Kundi lipi kati ya hayo huweza kuwa satisfied na kufurahia zaid mapenzi?
Karibun Tujadili.
Walio kwenye ndoa wengi wanatamani kutoka na wasio kwenye ndoa wengi wanatamani kuingia kwahiyo kote kuna furaha na kote kuna huzuni
 
OK thanx kwa idea nzr but najiuliza inawezekan sisi wapenzi hatujui Tafsiri ya neno Furaha wengi tunafikir Furaha in kuchekacheka tu au maana waliondan ni shida walionje shida too
Furaha ni jinsi mnavoitengeneza nyie wenyewe(kwa wenye mahusiano)...ndoa sio source ya furaha na kuwa nje ya ndoa sio source ya furaha vilevile..unaweza kuwa kwenye ndoa ukawa super happy and vice versa.
 
Huu uzi wenye majibu sahihi n waliopo kwenye ndoa maana wao wamehusika kote, kabla ya ndoa na baada ya kuwa ndani ya ndoa .
 
Me naona ambao hatujaingia ndoani ndo tunashida maana hujui utaolewa na nani na foleni uliyonayo nayo inamichepuko kama yote kwaio unabaki njia panda me naona bora walio ndoani maana wanauhakika wa mpnz aliye nae ni wake atakama anachepuka lkn ni wako
 
Walio kwenye ndoa ndo wanaenjoy sana,hata kama anamchepuko lakini akirudi ni wa kwako,atalala kitandani kwako mpaka asubhi,pia migogoro yao husovika kiurahisi kulinganisha na wale singles,wenyewe kukupa talaka ni dakika,na mahusiano kama yamedumu sana kwanza usiwe unamuomba matumizi,pili usipate mimba ,otherwise bora ndoa
 
Kula papuchi ya mkeo ni kama kula ugali kila siku. Linakuchosha yaani bora ule papu za tafauti tafauti
 
Back
Top Bottom