Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hii ni mahususi kwa vijana wa kiume ndio ambao hupitia hii kitu sana. Kuna yule mwanamke ambae kipindi ukiwa shuleni ulikuwa ukimtaka sana na ulimuonyesha kila dalili za kuwa unamuhitaji na...
32 Reactions
268 Replies
23K Views
Nimeitazama hii video, Nimeshangaa kweli ni kwamba wanaume hawapo hadi kufikia wadada kutumia Dildo. Tena sio katika mlango wa mbele, ni mlango wa nyuma, bahati nzuri ikazama yote nzima ikabidi...
2 Reactions
75 Replies
11K Views
Wadau naomba tuzijadili kwa kina tabia za wanawake na wanaume katika mahusiano. Kwa kuanza, kuna mdada mmoja tulikutana tukawa tunawasiliana. Baadae nikaona nimwambie haja ya moyo wangu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Msaada kwa anaefahamu upatikanaji wa hii product "nuru gel au nuru powder". Hutumika kwa masaji..nawasilisha wanajamvi.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajamvi Natafuta mwanamke aliye serious ambaye atakuja kuwa mke mwema kwangu, .Awe na sifa zifuatazo kwa ufupi; 1 Awe mcha Mungu 2.Awe Mkristo ,kama ni muislamu awe tayari kubadili dini...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari za weekendi wana jamvi naamini mawazo yenu utakuwa usefully sana kwangu. Nipo katika mahusiana na binti mmoja mkoa fulani hivi ila mimi nipo mkoa mwingine. Tumekuwa katika mahusiano mda...
3 Reactions
102 Replies
9K Views
Rafiki yangu sana toka tukiwa shule tunashauriana kwa kila kitu mpaka kufikia hapa ila hili hata mimi limenizidi uwezo hivyo nimeleta kwenu wanajamvi mumshauri. Alikuwa na mahusiano na mwanamke...
3 Reactions
31 Replies
6K Views
Aisee watu wanaongoza kwa kuweka password kwenye simu, hadi kwenye sms na kwenye phonebook. hivi mkaka/ mdada ukifa leo nani ataitoa lock kwenye simu yako.
6 Reactions
52 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wadau wenzangu. Kidogo sijawa mzoefu na uwanja huu, ila nitaomba tuchukuliane hivyo hivyo. Mada yetu nikuhusiana kuwa.. Hivi nisababu gani zamsingi zinazoweza kuelezea mwanaume...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
Jaman, LADIES, no OFFENSE, lakin aisee kuna wanawake ni wazuri ila aisee pu**y zao zinanuka kinyama, jaman Tutataguna nini yesterday was my worst day ever....nb Wazee wakuzama migodin angalien...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Mke wangu Marium,nampenda sana,nikiwa nae ndani huwa anapata raha sana,ninafua, ninapika..ninamsaidia kuosha vyombo...,sometime ninamuogesha mtoto! Na ninarudi nyumbani SAA 10 jioni! Mama...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Hii ndio sulihisho sahihi kwa wote ambao wanataka kuwadhibiti wanawake zao wasiguse simu. Nitafute kwa msaada zaidi.
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Ukiwa umeoa au ukiwa unaishi kinyumba na mwanamke, most of the time mnapokua nyumbani/ chumbani huwa wanapenda kuwa nusu uchi. Hakuna fetish naipenda kama kumuona mwanamke wangu akiwa nusu uchi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
wengi wanainfilioliti complex muda mwingi wanaishi kwa kuona wanaonewa. Kwa sababu wameishi wakiteseka wanadhani kutesa na kunyanyasa watu ndio mfumo sahihi wa maisha. wengi hawaelewi na hawaoni...
10 Reactions
56 Replies
5K Views
Habari wakuu Baada ya wazaz wetu kufariki na nyumba kukosa wa kuingalia ikabidi bro wangu ahamie pale yeye na mke wake japo namimi nnaishi umbali mdogo kutoka hapo hom jap sijaoa. Sasa mwezi...
1 Reactions
98 Replies
7K Views
Umejaliwa uzazi na uwezo wa kupanga chumba cha pili haukaongezeka. Kamwe usiruhusu watoto wako wakalale kwa jirani. Unaweza hata kuchukua mkopo na kununua bunk bed kama ya kwenye picha. Watoto...
8 Reactions
35 Replies
4K Views
Nilienda gest house flan na manzi, Nilishangaa sana kuulizwa Kitambulisho cha taifa.kanikomalia kabisa hakutaka kunipa room. Nilisepa na mzigo sikula. Hizi sheria jamani jaribuni kubadilisha nyie...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello, It's being along time haven't heard from this Chap neither read his post!!! Kindly PM have adversely missed you. Not Enough!!
1 Reactions
2 Replies
700 Views
http://www.fikrapevu.com/siri-iliyofichika-mauaji-ya-wanandoa-nchini/
1 Reactions
2 Replies
931 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…