Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,835
Naatach right video just right now. Pole kwa usumbufu.Acha ujinga, story na hiyo video ya kansime vinahusiana nini?
Kumaliziana tuu mb.
Video iko tayari, waweza ionaAcha ujinga, story na hiyo video ya kansime vinahusiana nini?
Kumaliziana tuu mb.
Ngoja niipakueVideo iko tayari, waweza iona
Chanzo cha kuhangaika hivi ni nini?
Njoo chemba nikupe ramaniHuyu mganga nikimpata ndoa yangu itadumu sana😂😂😂
Hubby naomba usipite mitaa hii leo maana utanikomesha mwenzio
Basì kuwa mwaminifuMkuu bujibuji, huo ushauri nimeukataa mke wangu navyompenda hivi aanze kuchapwa na watu wasiojulikana, acha tu nitatumia njia nyingine.
♧★☆♣Huyu mganga nikimpata ndoa yangu itadumu sana😂😂😂
Mbona njia rahisi tu akiishika mpaka alie bila kupigwa ataacha mwenyewe