NImeamua kuwafungia wote

NImeamua kuwafungia wote

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,741
Reaction score
3,316
Habari wakuu

Baada ya wazaz wetu kufariki na nyumba kukosa wa kuingalia ikabidi bro wangu ahamie pale yeye na mke wake japo namimi nnaishi umbali mdogo kutoka hapo hom jap sijaoa.

Sasa mwezi uliopita alikuja binti mmoja kukaa pale hom ili asubiri mambo yake yakamilike asepe kwa kuwa tuna undugu nao japo wa mbali mbal,na kiukwel alitokea kunizoea na kunipenda sana(Hisia za mapenzi) kama mjuavyo upendo haujifichi japo mimi mpaka dakika hii sijawai mfanya chochote.

Sasa mda mchache baada ya binti kuzoena namimi alianza kunijulisha jinsi ambavo bro na mke wake wananisema kwa mabaya sana yani kila sifa mbaya ni yangu na story zingine za kutunga tunga wakati siku zote najitaidi niwe bora kwao

Binafsi nligundua wamehisi huyu dada kanipenda sana sasa wanajaribu kumwambia sifa zangu mbaya ili akate mazoea namimi kabisa,ila mara zote namwambia huyu dada kuwa sio kweli ajaribu kuchunguza hata yeye akihisi wako sawa basi poa.

Sasa Juzi kanambia tena amesikia akina bro wanazungumza issue moja kwamba Mimi nliwai kuwa na mahusiano na dada flan hapa mtaani kwetu(Namjua) ambae alifariki kama miezi sita imepita na inasemekana alifariki kwa HIV maana afya yake ilizorota sana.

Sasa mimi kiukweli tangu aanze kuniambia hayo yote nimekua siyatilii maanani na hata nkiwa na akina bro nacheka nao vizuri tu bila kuonesha kwamba nnajua kwamba wananichafua sana lakini la kufikia hatua hadi kunizushia kwamba nimeshadate na mtu aloathirika nahisi limeniuma sana na nlichoamua ni kuwa sitawaambia lolote lakini pia sitawasemesha wala kujibu salamu yao wote kuanzia
Bro,mke wake na huyu dada maana nayeye inaonekana kama tayari kashakua na hofu kubwa sana namimi,So ili nisiendelee kuumia zaidi ni bora nichukue huo uamuzi na mimi nikishakuchukia huwa sirudi nyuma hata niwe na shida ipi heri nife ndani.

Naombeni ushauri wakuu je niendelee na huu msimamo au?
 
Bro sisi hatukusemi vibaya, je na huyo msichana anaekupa hizo taarifa pia umemchunguza? Kumbuka sisi ni ndugu alafu unatakiwa uwe na tabia za kiume..

Wewe utaletewaje taarifa na mwanamke alafu unyamaze kimya .. Akati anaekusema ni kaka na shem wako?
 
Huyo dada si mtu mwema kwako mkatie. Atakuchonganisha na kila mtu. Anatabiawza kimbea kimbea.
Ni kweli lakini anachosema yuko sawa maana najua haya yote anayonambia sio kwamba anajitungia
mfano huyo dada alofariki asingemjua kama hakuambiwa maana yeye ana miezi miwili sasa na huyo dada kafariki mda tu
 
Jiulize anakuambia ili iweje?
Angekua ana kumpenda angesisiza upime HIV na kama uko salama angekushauri uepukane na ngono zenye

Ni mengi tunayasikia lakini hatusemi. Kuchonganisha ndugu wa tumbo moja ni laana.
 
Me najua wazi hata kabla ya huyu dada hajaja bro wangu huwa ananichukia tu bila sababu na akamuambukiza na mke wake nasasa kila mgeni anaekuja wanamsimulia tu mabaya yangu ila kwa kuwa huyu dada tumekua nae close ndo maana nayapata vizuri
Bro sisi hatukusemi vibaya, je na huyo msichana anaekupa hizo taarifa pia umemchunguza? Kumbuka sisi ni ndugu alafu unatakiwa uwe na tabia za kiume..

Wewe utaletewaje taarifa na mwanamke alafu unyamaze kimya .. Akati anaekusema ni kaka na shem wako?
 
Jiulize anakuambia ili iweje?
Angekua ana kumpenda angesisiza upime HIV na kama uko salama angekushauri uepukane na ngono zenye

Ni mengi tunayasikia lakini hatusemi. Kuchinganisha ndugu wa tumbo moja ni laana.
Ni ukweli unachosema nando maana nimeamua hata yeye kukata nae mazoea hata salamu sitaki
Lakini pia najiuliza kwanini wananichafua hivi na sina chochote nnachowapunguzia kwenye maisha yao?
 
Me najua wazi hata kabla ya huyu dada hajaja bro wangu huwa ananichukia tu bila sababu na akamuambukiza na mke wake nasasa kila mgeni anaekuja wanamsimulia tu mabaya yangu ila kwa kuwa huyu dada tumekua nae close ndo maana nayapata vizuri
Kwa mujibu wa maelezo yako.. Nimeamini ndugu wakigombana chukua jembe ukalime
 
Ni ukweli unachosema nando maana nimeamua hata yeye kukata nae mazoea hata salamu sitaki
Lakini pia najiuliza kwanini wananichafua hivi na sina chochote nnachowapunguzia kwenye maisha yao?

Amua moja katika haya
1. Mkalishe kaka yako muwe na man to man talk mueleze yaliyo moyoni mwako. Jiandane kwa reaction yake. Hakikisha humvunjii heshima.

Kama una uwezo ondoka hapo, ndugu kukaliana karibu si vizuri.
 
Sijamwambia kwa kuwa najua watamchukia huyu dada na watajua yeye ndo kanambia

Kwo ili kuondokana na hayo nimeamua sitaki mazoea nao wote ili wajitafakari vizuri bila kumuathiri huyu dada maisha yake na wao
Amua moja katika haya
1. Mkalishe kaka yako muwe na man to man talk mueleze yaliyo moyoni mwako. Jiandane kwa reaction yake. Hakikisha humvunjii heshima.

Kama una uwezo ondoka hapo, ndugu kukaliana karibu si vizuri.
 
Mkuu mbona hili lakudate namtuhumiwa wangoma limekuchoma sana? Au nikweli marehem alikuwa mtu wako? Haina haja yakuwanunia ila njia nyepesi yakuweka mambo Sawa niwewe kufunga safari mpaka angaza...., nasisi humu utuleteee mrejesho wamajibu yaangaza
 
Me najua wazi hata kabla ya huyu dada hajaja bro wangu huwa ananichukia tu bila sababu na akamuambukiza na mke wake nasasa kila mgeni anaekuja wanamsimulia tu mabaya yangu ila kwa kuwa huyu dada tumekua nae close ndo maana nayapata vizuri
Mmezaliwa wangapi katika familia yenu?

Halafu hii tabia mbaya ya ndugu kumchukia ndugu sijui inakuaje ?
 
Kwa kifupi wameshakuchoka wanashindwa kukwambia wazi wazi tu wanatumia njia za panya kukufikishia ujumbe ........JIONGEZE MKUU.
Me sitegemei chochote kwao mkuu,sana wao ndo huwa wakipata shida nawasaidia

Yan tunachoshare labda ni huduma za umeme na maji ambazo nazo nachangia kama kawaida

Japo huyu dada kashanambia kua et mimi sichangii chochote na natumia tu free kitu ambacho sio kweli at all
 
Mkuu mbona hili lakudate namtuhumiwa wangoma limekuchoma sana? Au nikweli marehem alikuwa mtu wako? Haina haja yakuwanunia ila njia nyepesi yakuweka mambo Sawa niwewe kufunga safari mpaka angaza...., nasisi humu utuleteee mrejesho wamajibu yaangaza
Hapana sio kweli kabisa kaka,mimi naishi vizuri sana na kila mtu hapa mtaani na kwa jinsi nlivo kwa mtu mjinga kama wao wanahisi labda mie ni mzinzi sana maana hakuna msichana ambae haoneshi mapenzi namimi hapa mtaani,ila cjawai date wala kuingiza msichana yeyote wa hapa kitaa
 
Basi mkuu nikwambie tu, hapo me sijaona sababu yawewe kuwachunia. Ninachokiona hapo nikuwa broo wako ameshaona dalili sio nzuriii nahuyo ndugu yako wambali nayeye ataki hicho kitendo kikatokea ila anashindwa kukwambia so anachokifanya nikumkatisha tamaa yangono huyu bint ili mwisho wasiku msije mkabokoana naundugu wenu japokuwa niwambali ukageuka undugu ushenzi wakulana kama kuku
 
Back
Top Bottom