Tabia za Mahusiano ya mwanamke na Mwanaume

ntemintale

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
956
Reaction score
1,878
Wadau naomba tuzijadili kwa kina tabia za wanawake na wanaume katika mahusiano.

Kwa kuanza, kuna mdada mmoja tulikutana tukawa tunawasiliana. Baadae nikaona nimwambie haja ya moyo wangu. Akanijibu ana mtu. Nikaheshimu maamuzi. Nikamfanya rafiki wa kawaida.

Cha kushangaza, mdada anani keep in touch sana. Ananipigia simu, karibu 3 times a day, na kama mjuavyo hana cha zaidi ya kuuliza umekula, umeenda kazini n.k. tena wakati mwingine hata zaidi ya saa 5 usiku.

Kwangu mimi na uzoefu wangu, vitu hivi huwa wanafanya ladies walioko kwenye mahusiano ya mapenzi. But anadai mimi ni rafiki na kaka kwake hivyo sitakiwi kabisa kumzungumzia masuala ya mapenzi. Huwa nabaki kuchekelea moyoni tu.

Kingine nilichojifunza ni kwamba, yawezekana ana mtu kweli, lakini hana uhakika wa kifuatacho, hivyo anakeep in touch kote kote.

Tuanzie hapo.
 
Tuanzie wapi? Tuchangie nini? Nini unahitaji kutoka kwenye hii thread?
 
Mkuu kwa kweli sijaelewa lengo la uzi wako.

Ni mahusiano yapi unazungumzia - ya kimapenzi au haya yako ya kaka na dada?

Je, unaamini kuwa tabia ni uniform kwamba wote wanakuwa nazo sare sare?

Jitahidi kumjua mtu wako tu. Ukitaka kujiongezea kazi nyingine hutoweza. Na binti A anaweza kuwa tofauti kabisa na binti B. Kamwe usijedhani tabia za Asha zitafanana na za Mwajuma. Mmoja anaweza kuwa alipenda kuchat mwingine kuongea kwa simu.

Baada ya kusema hayo, achana na mwanamke anayekutumia kihisia...labda kama huna mambo mengine ya muhimu ya kufanya.
 
Hongera mpenzi mtazamaji
Wadau naomba tuzijadili kwa kina tabia za wanawake na wanaume katika mahusiano.

Kwa kuanza, kuna mdada mmoja tulikutana tukawa tunawasiliana. Baadae nikaona nimwambie haja ya moyo wangu. Akanijibu ana mtu. Nikaheshimu maamuzi. Nikamfanya rafiki wa kawaida.

Cha kushangaza, mdada anani keep in touch sana. Ananipigia simu, karibu 3 times a day, na kama mjuavyo hana cha zaidi ya kuuliza umekula, umeenda kazini n.k. tena wakati mwingine hata zaidi ya saa 5 usiku.

Kwangu mimi na uzoefu wangu, vitu hivi huwa wanafanya ladies walioko kwenye mahusiano ya mapenzi. But anadai mimi ni rafiki na kaka kwake hivyo sitakiwi kabisa kumzungumzia masuala ya mapenzi. Huwa nabaki kuchekelea moyoni tu.

Kingine nilichojifunza ni kwamba, yawezekana ana mtu kweli, lakini hana uhakika wa kifuatacho, hivyo anakeep in touch kote kote.

Tuanzie hapo.
 
Mkuu usihofu, nammudu.hanisumbui najaribu Ku share tu pengine.na wewe úna story fulani. Mchango wako mzuri
Mkuu kwa kweli sijaelewa lengo la uzi wako.

Ni mahusiano yapi unazungumzia - ya kimapenzi au haya yako ya kaka na dada?

Je, unaamini kuwa tabia ni uniform kwamba wote wanakuwa nazo sare sare?

Jitahidi kumjua mtu wako tu. Ukitaka kujiongezea kazi nyingine hutoweza. Na binti A anaweza kuwa tofauti kabisa na binti B. Kamwe usijedhani tabia za Asha zitafanana na za Mwajuma. Mmoja anaweza kuwa alipenda kuchat mwingine kuongea kwa simu.

Baada ya kusema hayo, achana na mwanamke anayekutumia kihisia...labda kama huna mambo mengine ya muhimu ya kufanya.
 
Endelea kupoteza tu mda,kuna siku utaomba kwenda kutoa mahali kwao,utaambiwa hivi... NIKIWA TAYARI NITAKUAMBIA,,Basi Tuzae na penyewe jibu litakuja nikiwa Tayari nitakuambia, Wadada huaga wanageuka kama upepo wa kusi au kas, kua makini sana
 
Ebu fanya kutupia namba yake hapa naona wewe kazi imekushinda.
 
Wadau naomba tuzijadili kwa kina tabia za wanawake na wanaume katika mahusiano.

Kwa kuanza, kuna mdada mmoja tulikutana tukawa tunawasiliana. Baadae nikaona nimwambie haja ya moyo wangu. Akanijibu ana mtu. Nikaheshimu maamuzi. Nikamfanya rafiki wa kawaida.

Cha kushangaza, mdada anani keep in touch sana. Ananipigia simu, karibu 3 times a day, na kama mjuavyo hana cha zaidi ya kuuliza umekula, umeenda kazini n.k. tena wakati mwingine hata zaidi ya saa 5 usiku.

Kwangu mimi na uzoefu wangu, vitu hivi huwa wanafanya ladies walioko kwenye mahusiano ya mapenzi. But anadai mimi ni rafiki na kaka kwake hivyo sitakiwi kabisa kumzungumzia masuala ya mapenzi. Huwa nabaki kuchekelea moyoni tu.

Kingine nilichojifunza ni kwamba, yawezekana ana mtu kweli, lakini hana uhakika wa kifuatacho, hivyo anakeep in touch kote kote.

Tuanzie hapo.
Mbona sasa umeshasema kila kitu?
 
Wanabadilika kama software za computer

Back
Top Bottom