Nakupenda mke wangu Marium!

Nakupenda mke wangu Marium!

Mke wangu Marium,nampenda sana,nikiwa nae ndani huwa anapata raha sana,ninafua, ninapika..ninamsaidia kuosha vyombo...,sometime ninamuogesha mtoto!

Na ninarudi nyumbani SAA 10 jioni!

Mama natashahrani,nakupenda sana!
newly weds, jipe muda kwanza! hii inaitwa puppy love au infatuation au limbwata.
marium biriani.
 
Mke wangu Marium,nampenda sana,nikiwa nae ndani huwa anapata raha sana,ninafua, ninapika..ninamsaidia kuosha vyombo...,sometime ninamuogesha mtoto!

Na ninarudi nyumbani SAA 10 jioni!

Mama natashahrani,nakupenda sana!
Mashallah huba hubani
 
Tuambie kwanza ndoa yako ina miaka mingapi usikute umeoa mwez wa i
 
Yani hata kama unampenda vipi mwenzi wako fanya tu kuwa siri yako maana watu huwa hawapendi kusikia hili... evidence ni post za watu hapo juu japo najua mleta mada katuchemshia chai.
 
Kwaiyo kumwambia umeshindwa adi uje kutitangazia uku, lipia tangazo mkuu
 
Hilo limbwata bdo linachaji 98% ngoja ngoja kdg liishe chaji
 
Back
Top Bottom