Miaka ya karibuni kumekua na wimbi LA wazee kuoa slay queen, na wamekua wakiwaona vijana hawana akili Kwa sababu hawawaoi maslay queen
Ukweli ni kwamba maslay queen wengi wao ni magold digger...
Unakataa Kuwa dem yangu
Naenda kwa Mrogi nakuroga unakufa
Na nakujaa kwa mazishi yako
Kukula na kukunywa Nikucheke ukizikwa
Unaringaga unaringa nini?
Na sura mbaya ata kuliko mbuzi
Roho chafu...
DADA ZANGU HUU NI MWAKA WA MABADILIKO.
TAKE IT OR LEAVE IT.
Umempata bwana...
Umempenda kweli...
Umemlalamikia kwa nini hakupeleki kwa wazazi..
Bwana akakupeleka kwa wazazi wake...
Nyie madem wa kichaga hivi kwanini ni wepesi sana mkitongozwa? Hamjui kusema NO. Ni nature yenu au mna huruma sana??. Ukiona demu wa kichaga amekukataa basi wewe unagundu.
Narudia na kukazia tena...
Leo nawapa mbinu mbili tu jambo zinaonekana ni dhaifu ila zinafanya kazi kwa asilimia 100%
Leo nataja mbinu mbili za aina mbili za mademu
1:Mademu wenye tamaa
2:Mademu wagumu kutoa papuchi wakiwa...
Jumapili ya tarehe 3/2/2019, wakati wa matangazo baada ya kumaliza ibada, waumini walisikitika sana pale msoma matangazo alipotoa tangazo kuwa:
WANAWAKE WANAOWATUMIA MAPADRE PICHA ZISIZO NA...
Yan dume zima anaandika uzi vizuri af mwisho anaandika POVU RUKSA, binafsi nikishaona maandishi hayo sina hamu ya kuchangia, no matter what.
Hizo ni dalili za umayaimayai
1.Mwanaume anayeendesha gari la baba yake si chochote na asilete dharau mbele ya wanaume wanaoendesha baiskeli walizonunua kwa pesa za kazi ya mikono yao
2.Tunapoona mtu amefanikiwa kimaisha si...
Mimi nimekaa mdaa bila mwanamke, kwanin nyie hampo series saiz natafuta wa kushare life tuu story na gambe ndio best friend jamaan kwa yeyote aliyepo interested kuanza safari karibuni...
Kipindi flani bna nikakutana na muhenga flani hivi kama moyo wangu ukamuelewa vizuri hivi.
Tukaanza mahusiano flani
Kwa vile nilitaka kuhamia ,nikaona nitest mtambo nikamuambia bna nimepima Nina...
Mambo zenu kwangu mimi nachukia kama mtu hapokei simu yako halafu akipokea anaongea kwa kejeli kama mtu umemchoka mwambie mpo wengi watu wasipende kuchakazana.
Ila maisha ya nyakati hizi kuwa na...
Habari za jukwaa wadaku
Huyu mama siku za nyuma alivuma sana kwenye tasnia ya kwaya za kumsifia bwana. Kwa mara ya mwisho nimemsikia alipomwagana na Mbasha na kuamua kuolewa na kijana fulani...
Unakuwa kwenye mahusiano na umpendae kwa muda,unahisi upweke
Unampigia sim kwenda kumtembelea kwake,anajitahidi kufanya usafi,na kukuandalia chakula kitam#Hapo nakupa hongera sana
Baada ya...
Salamu kwenu wana JF wote.
Katika maisha ya kila siku tukiwa kama Binadamu tunakutana na changamoto nyingi. Miaka kama 8 iliyopita kuna ugomvi ulitokea kati yangu na Wifi yangu yaani Mke wa Kaka...
Nawasalimu nyote.
Straight to the point.
Kuna usemi usemao KILA ZAMA NA KITABU CHAKE. Zama hizi za awamu ya tano kitabu chake kama usipokisoma vizuri unaweza ona marue rue tu. Nakumbuka awamu...
Habari wakuu
Hii ni kwa wale cheap labourers wanaopatikanaa ndani ya jiji la Dar es salaam, hususani wale wote walioajiriwa na taasisi mbalimbali hapa jijini private or z serikalini
mnahandle...