Kwa wanawake tu.ulishawai kudanganya una mimba?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,864
Kipindi flani bna nikakutana na muhenga flani hivi kama moyo wangu ukamuelewa vizuri hivi.
Tukaanza mahusiano flani
Kwa vile nilitaka kuhamia ,nikaona nitest mtambo nikamuambia bna nimepima Nina mimba.
Yaani alichoniambia nilikoma .Hadi Leo hata niwe na nyege vipi Bora niwe chaputa follower.
Nilijifunza kufunga miguu kusema kweli.
Nilikuwa naonaga masingle maza walivo na stress za baba watoto kweli nawaelewa Sana maana ningekuwa huko saa hizi.
Inauma Sana mtu kukana damu yake
 
Mm nilimdanganya Mkurugenzi fulani nina mimba kwa kuwa anamuogopa mkewe akanipeleka lodge tukapime na kipimo kanunua kwenye pochi nikabeba mkojo wa rafiki yangu aliyekuwa mjamzito baada ya kufika lodge nikaingia na kichupa chooni nikaweka huo mkojo kupima kitu kinasoma baada ya hapo tukapitia ATM akatoa mkwanja akanipa laki 3 ya kutolea mimba aiseee nilifurahi ile hela tena nilkuwa na safar ya kwenda karagwee jaman mpaka leo huwa nikikumbuka nacheka

Wanaume wengine ukiwadanganya ndiyo wanafurahi zaidiii loooh huwa nachukia
 
Ungemuambia haijatoka kuvuta mkwanja zaidi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake
 
Kipindi flani bna nikakutana na muhenga flani hivi kama moyo wangu ukamuelewa vizuri hivi.
Tukaanza mahusiano flani
Kwa vile nilitaka kuhamia ,nikaona nitest mtambo nikamuambia bna nimepima Nina mimba.
Yaani alichoniambia nilikoma .Hadi Leo hata niwe na nyege vipi Bora niwe chaputa follower.
Nilijifunza kufunga miguu kusema kweli.
Nilikuwa naonaga masingle maza walivo na stress za baba watoto kweli nawaelewa Sana maana ningekuwa huko saa hizi.
Inauma Sana mtu kukana damu yake
Hivi huna hata wa kusingiziwa mpaka leo

Embu tuambie alivyokujibu dingilai
 
Mm nilimdanganya Mkurugenzi fulani nina mimba kwa kuwa anamuogopa mkewe akanipeleka lodge tukapime na kipimo kanunua kwenye pochi nikabeba mkojo wa rafiki yangu aliyekuwa mjamzito baada ya kufika lodge nikaingia na kichupa chooni nikaweka huo mkojo kupima kitu kinasoma baada ya hapo tukapitia ATM akatoa mkwanja akanipa laki 3 ya kutolea mimba aiseee nilifurahi ile hela tena nilkuwa na safar ya kwenda karagwee jaman mpaka leo huwa nikikumbuka nacheka

Wanaume wengine ukiwadanganya ndiyo wanafurahi zaidiii loooh huwa nachukia
Nimecheka mno we Demiss mwehu sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utalamba hela ya falaa pekeee
 
Bora umejifunza hata km mwanaume akupenda usidhani atafurahi mimba za kakurupuka nakustukizana bila mipango.

Yes anaweza kukubali mimba lkn haina maana kafurahi ujinga wa kulegesha mimba lielewe hili mapema sana unapo deal na Mwanaume awe mwanaume anayekupenda kwa dhati au awe asiyekupenda kwa dhati.

Kila kitu lazima awe amekifikiria kichwa once and while kabla hakijatokea
 
Mnavotugegeda mnadhani itatokea Nini?
 
Back
Top Bottom