Zero IQ JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 13,985 Reaction score 25,200 Jun 8, 2019 #1 Baby naomba nikuulize kitu "Hivi wewe una mpango gani na mimi?" Kama ulishawahi kutana na swali hili wewe ulijibu nini? Cc Zero IQ.
Baby naomba nikuulize kitu "Hivi wewe una mpango gani na mimi?" Kama ulishawahi kutana na swali hili wewe ulijibu nini? Cc Zero IQ.
Ja60 JF-Expert Member Joined Aug 5, 2012 Posts 277 Reaction score 181 Jun 8, 2019 #2 Nina mpango wa kuzaa na wewe.
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,077 Reaction score 13,951 Jun 8, 2019 #3 Nina mpango wa kuishi nawe maishani! Hapo unashindikiza na viapo kama uko mahakamani. Ukijibu kishamba unaikosa papuchi.
Nina mpango wa kuishi nawe maishani! Hapo unashindikiza na viapo kama uko mahakamani. Ukijibu kishamba unaikosa papuchi.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 52,037 Reaction score 125,856 Jun 8, 2019 #4 nina mpango wa kukukula mpaka nikumalize
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,011 Reaction score 31,798 Jun 8, 2019 #5 Nina mpango wa.......
Modrizzy JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 971 Reaction score 1,799 Jun 8, 2019 #6 Ambao hatujawah kuambiwa hiv tunafel wapi Au tunakuwa tushaonekana sisi ni hohehahe
alumn JF-Expert Member Joined Jul 15, 2018 Posts 2,369 Reaction score 3,177 Jun 8, 2019 #7 Modrizzy said: Ambao hatujawah kuambiwa hiv tunafel wapi Au tunakuwa tushaonekana sisi ni hohehahe Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Modrizzy said: Ambao hatujawah kuambiwa hiv tunafel wapi Au tunakuwa tushaonekana sisi ni hohehahe Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SHOOyaKIBABE JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 2,182 Reaction score 1,717 Jun 8, 2019 #8 Majibu ya hilo swali inategemea tupo kwenye stage gani ya uhusiano na kwa mda gani..
Muuza simu used JF-Expert Member Joined Aug 23, 2017 Posts 4,393 Reaction score 7,107 Jun 8, 2019 #9 Nina mpango wa kufungua kiwanda cha watoto na wewe!simple answer