Leon jeaph
Member
- Mar 9, 2019
- 88
- 82
Mimi nimekaa mdaa bila mwanamke, kwanin nyie hampo series saiz natafuta wa kushare life tuu story na gambe ndio best friend jamaan kwa yeyote aliyepo interested kuanza safari karibuni...
Kweli kabisa hatupo series bali tupo serious.Mimi nimekaa mdaa bila mwanamke, kwanin nyie hampo series saiz natafuta wa kushare life tuu story na gambe ndio best friend jamaan kwa yeyote aliyepo interested kuanza safari karibuni...
Usisahangae mkuu. .ndio dunia ilipofikia hapoDuuuh
Kweli kabisa dunia imeniacha km nyingi sanaUsisahangae mkuu. .ndio dunia ilipofikia hapo
Kweli kabisa dunia imeniacha km nyingi sana
Nilijua peke yangu kumbe tuko wengi na hii inatokana na shule kufungaTumeachwa sote ndugu
Tutasaidiana tuende mbingunibila shaka h n safari ya jehanam
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bila shaka h n safari ya jehanam