[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama unataka tu kujua alipo sasa basi jua kuwa yupo jikoni anampikia mumewe...
Anatumia jina gani huko Insta.Yupo insta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ndio huyu aliezalishwaga na gwajima ama nimekosea?
Alizalishwa akiwa kwenye ndoa?Hivi ndio huyu aliezalishwaga na gwajima ama nimekosea?
Labda anafanya utungaji 'utunzi' huko alikoSisikii nyimbo zake, ndiyo maana yangu. Aliacha kuimba?