PoleeeDah me nimepata mpnz juzi tukameet Jana Leo kanilia wa mbuzi...zile attention zooote kushineh...hakuna ata cha salamu ukisikia wahuni kurap msibani basi ndo huyu najihisi nnamapepo...@mshanajr nisaidie kwann mahusiano yangu hayakai nkipata mwanaume lazima alale mbele huenda nnapepo spiritual husband jaman....[emoji48][emoji48][emoji48]
Kama uko below 23 Ni pm walahi pleaseDah me nimepata mpnz juzi tukameet Jana Leo kanilia wa mbuzi...zile attention zooote kushineh...hakuna ata cha salamu ukisikia wahuni kurap msibani basi ndo huyu najihisi nnamapepo...@mshanajr nisaidie kwann mahusiano yangu hayakai nkipata mwanaume lazima alale mbele huenda nnapepo spiritual husband jaman....[emoji48][emoji48][emoji48]
Mkuu age imetembea c kitotoKama uko below 23 Ni pm walahi please
Mimi nahisi vyote tu hapo vilihusika tena vyenye na mimi nilikuwa na mambo yangu kichwani nikamwambia tu tafuta mwanamke atayekufaa mimi sikufaiA. Kulumbana Sana
B. No sex
C. Kucheat
D. Kukosa muda na mpenzi wako
E. Pesa
F. Mahusiano yalikua yana boa
G. Addiction ya vilevi au madawa
Naomba kuwasilisha
Same to meI didnt deserve him so nilimwacha aende akampate atakaeutendea haki moyo wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kama mazuri ila pole mwayaDah me nimepata mpnz juzi tukameet Jana Leo kanilia wa mbuzi...zile attention zooote kushineh...hakuna ata cha salamu ukisikia wahuni kurap msibani basi ndo huyu najihisi nnamapepo...@mshanajr nisaidie kwann mahusiano yangu hayakai nkipata mwanaume lazima alale mbele huenda nnapepo spiritual husband jaman....[emoji48][emoji48][emoji48]
Mmmh Basi nabadili gear tufanye under 25..Kama upo under 25 you fit...na hapo umevukaMkuu age imetembea c kitoto