Picha

Picha

flulanga

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
4,861
Reaction score
6,442
Nimekaa hapa katika kuangalia makarabrasha yangu nimekutana napicha zampenzi wangu angali akiwa bado msichana wakati bado ajazaa nimejikuta nimeanza kumpenda tena nakumuhamu. Ama hakika alikuwa mzurii sana ila me ndio nimembadilisha/nimemchakaza sana aisee chuchu zilikuwa saa6 ila sasa zimekuwa kama ndala aisee nimejikuta nimeanza kumpenda nakuukubari uzuri wake tena kwamara nyingine.

Wanaume wenzangu tujifunze kurudi nyuma nakukumbuka uzuri tuliowakuta nao wazazi wenzetu/mke nakama una picha zake alizokuwa amepiga au mlizowahi kupiga wakati mapenzi yenu yakiwa fire nivizuri zaidi itakufanya uanze kumdindishia nakumpiga mabao mengi kama vile mwanzo, yawezekana hayo mabao yako yawakati ule ndio yalimvutia kwako nakuamua kudumu nawewe hadi leo hii.

NB: hii haiwahusu waliozaa nakuoa masingle mother maana hao hawajui uzuri wamwanzo wahao masingle mother wao.
 
Mimi acha nizungumzie uandishi wako...
Ni mbovu jitahidi kubadilika mkuu
Samahani kama nimekukwaza
 
Nimekaa hapa katika kuangalia makarabrasha yangu nimekutana napicha zampenzi wangu angali akiwa bado msichana wakati bado ajazaa nimejikuta nimeanza kumpenda tena nakumuhamu. Ama hakika alikuwa mzurii sana ila me ndio nimembadilisha/nimemchakaza sana aisee chuchu zilikuwa saa6 ila sasa zimekuwa kama ndala aisee nimejikuta nimeanza kumpenda nakuukubari uzuri wake tena kwamara nyingine.

Wanaume wenzangu tujifunze kurudi nyuma nakukumbuka uzuri tuliowakuta nao wazazi wenzetu/mke nakama una picha zake alizokuwa amepiga au mlizowahi kupiga wakati mapenzi yenu yakiwa fire nivizuri zaidi itakufanya uanze kumdindishia nakumpiga mabao mengi kama vile mwanzo, yawezekana hayo mabao yako yawakati ule ndio yalimvutia kwako nakuamua kudumu nawewe hadi leo hii.

NB: hii haiwahusu waliozaa nakuoa masingle mother maana hao hawajui uzuri wamwanzo wahao masingle mother wao.
Ok
tapatalk_1559989630212.jpeg
tapatalk_1552458101006.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Hapo mwisho sasa. Ngoja nicheke ntarudi kutoa maoni chap

Ni kweli mkuu, maisha haya ni process kwa kweli ila sisi ni binadamu pia na kuna muda tunakuwa ukomo wa fikra, hisia, upendo nk. Cha muhimu ni kutojutia maamuzi ukiamini yatakupeleka sehemu nzuri kwa namna moja au nyingine
 
Nikweli mkuu
 
Back
Top Bottom