Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,101
- 110,823
1st year
Nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu, niliyekuwa nikimuita " Bestfriend" nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe wangu , lakini yeye hakuwa akitamani hilo na n ilikuwa nikilitambua hilo .
Baada ya leacture, alikuja kwangu na kuniomba notes za siku ya nyuma kwa sababu hakuweza kuingia darasani hiyo siku iliyopita .baada ya kumpa akasema " asante " na kushikana mikono na mimi .I wanted to tell her , i want her to know that i don ' t want us to be just friends , i love her but i ' m just to shy , and i don ' t know why.
2nd year
Simu yangu iliita , kupokea alikuwa yeye alikuwa akilia akinielezea jinsi gani boyfriend wake broke her heart , she asked me to come over because she didn ' t want to be alone , kwa kuwa ni rafiki yangu kipenzi ilinibidi kwenda kumfariji , as i sat next to her on the sofa , nilikuwa nikimuangalia Machoni nikitamani awe wangu .Baada ya masaa mawili baada ya kuangalia nae movie mbili tatu na kula nae chakula pamoja akarudi katika hali yake ya kawaida , hivyo akaamua kwenda kulala , before akaniangalia na kuniambia " asante " na kunipa tabasamu tamu, i want to tell her to know that i don ' t us to be just friends , i love her but i ' m just too shy , and i dont know why.
3rd year
Siku moja kabla ya Tamasha la muziki chuoni alikuja kwenye meza yangu leacture room na kuniambia " Boyfriend wangu amepata udhuru hivyo naomba unipe campan katika tamasha la muziki leo usiku " kwa kuwa tuliwekeana promice kwamba ikitokea kila mmoja wetu amekosa mtu wa ku - date nae basi tutaenda pamoja just as " bestfriends " .hivyo tukaenda .
katika tamasha baada ya kila kitu kuisha na muziki kufungwa , nilikuwa nimekaa nje ya ukumbi nikimuangalia jinsi alivyokuwa akicheka na rafiki zake , she saw me looking to her she smiled at me , i want her to be mine lakini yeye alikuwa hafikirii hilo kabisa na nilikuwa nikilitambua hilo , then she said to me " nimekuwa na muda mzuri na wewe asante sana" and she gave me a sweet smile. I want to tell her to know that i don ' t us to be just friends , i love her but i ' m just too shy , and i dont know why.
Graduation Day
Siku , wiki kisha mwezi ukapita ilikuwa ni mahafali yetu tukimaliza masomo ya chuo , akiinuka kwenda kutunukiwa shahada yake ya uchumi nilikuwa nikimuangalia akiwa amependeza sana siku ile , i wanted her to be mine , but she didn ' t notice me like that , and i knew it.
kabla watu hawajatawanyika kwenda makwao , alikuja kwangu akiwa na vazi lake la mahafali , na kulia pale nilipomkumbatia akainua kichwa chake na kuniambia " you are my bestfriend asante sana " i want to tell her to know that i don ' t us to be just friends , i love her but i ' m just too shy , and i dont know why.
Miaka michache baadae
Nikiwa kanisani Yule Msichana akiwa anaolewa sasa, nilimuangalia akisema " ndiyo nakubali " and drive off to new life , kaolewa na mwanaume mwingine, i wanted her to be mine , but she didn ' t see me like that , and i knew it.
but before she drove away, alikuja kwangu na kusema " asante sana" and kissed me on the cheek .I want to tell her to know that i dont us to be just friends , i love her but i ' m just too shy , and i dont know why.
Kwenye Mazishi
Miaka ilipita i looked down katika jeneza lilokuwa na msichna ambaye alikuwa ni " bestfriend" wangu , Katika Service ya mazishi wakasoma diary ya Bestfriend ambayo alikuwa akiiandika enzi za maisha ya chuo '
Diary yake ilikuwa Ilikuwa ikisomeka hivi:-
I stare at him napenda awe wangu , but he doesn ' t notice me like that , and i know it, i want to tell him , i want him to know that i dont want us to be just friends , i love him but i ' m just to shy , and i dont know why .I wish he would tell me he loved me !
Nilipiga magoti huku nikilia nikijisemea moyoni i wish ningemwambia tu ukweli , nimeshachelewa sipo nae tena katangulia mbele za haki i cried !!