Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kushuka kwa kiwango cha ufaulu kwa watoto limekuwa tatizo kubwa katika jamii yetu. Pamoja na mambo mengi yanayochangia tatizo hili, kutokuwepo kwa ushirikiano kati ya walimu na wazazi katika...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nawasalimu katika jina la mahaba, zawadi bora kabisa kutoka kwa Mungu, ambayo shetani hayuko tayari kuikosa kwa namna yoyote ile. Kwa wale wenye wenza, salaam na ziwaendee viazi mbatata wenu...
7 Reactions
155 Replies
23K Views
Mie najivunia kuwa mwanaume na namshukuru Mungu kwa kuniumba mwanaume;je wewe unajivunia jinsia yako?
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Cheka na mwenzio uongeze siku za kuishi... Uko kazini umekasirika/kununa uko nyumbani umekasirika/kununa Uko kwenye mambo ya biashara umekasirika/umenuna Unasalimiwa uitikii unajifanya...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Nyie wanawake ukitaka kujua Hali halisi ya mwenendo wa mumeo, kama ni husband material ama laa angalia kwenye simu yake kama Unakuta singeli tu na bongo fleva ama hipap jiandae kisaikolojia...
3 Reactions
108 Replies
7K Views
Naona hawanitakii mema lengo lao ni kuona mr Zero IQ nimefunga kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa chipsi, Kuanzia leo nimefunga PM yangu nimechoka kusumbuliwa na mademu wa JF. Cc Zero IQ.
6 Reactions
52 Replies
4K Views
Katika mahojiano yangu na wanaume mbali mbali ambao bado hawajoa pamoja na mimi, Asilimia 98% wanadai ya kuwa, Msichana ambaye anakunywa bia(pombe ya aina yoyote) na uvutaji wa singara wana nafasi...
3 Reactions
164 Replies
16K Views
Kwa hapa dunia ilipofikia kila MTU ktk ndoa Analia na kulalamika Mara usaliti,Mara sitoshelezwi ktk tendo LA ndoa,na changamoto nyingine. Ukweli ni kwamba ukitulia na mke wako au mumeo na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanamke miaka 35 hujaolewa,unatatizo gani? Mwanaume miaka 45 hujaoa nawe unatatizo gani? Chukueni hatua wakuu,msijekuwa 'reject'
1 Reactions
58 Replies
3K Views
niko na rafiki yangu wa kike ameolewa na ndoa yake ina mwaka amegundua mumewe anauza unga Anaomba Ushauri wana mtoto mmoja mume anataka wazae watoto wengine haraka mke kwa hofu ya kazi ya jamaa...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Habarini wana jamii forum. Hivi karibuni nimekuwa Kila nikiingia jukwaa la MMU nakutana na uzi za malalamiko ya ndoa,mada zingine za ukakasi,majibu ya ukakasi ilmrad tafran. Swali ni je ni kweli...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kiafrika kuishi extended family ni jambo la kawaida tu kwahiyo unaweza kuishi na baadhi ya ndugu zako kwako au kuna baadhi wanaishi makwao hata baada ya kuoa. Lakini kama mjuavyo kuna baadhi ya...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Kwa wale wenye watoto nadhani mtanielewa, kiukweli amani ya moyo huwa inatoweka kabisa pale inapotokea mtoto wa kwanza hasa hasa akiwa wa kiume akifanana na mama yake, Hua tunaumia sana sema hua...
5 Reactions
65 Replies
7K Views
WA AFRICA WAMEFIKA MBALI SANA, MPAKA HAPA NI FURAHA AU KAWAIDA
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Je, ni sawa kwa mwanamke au mwanamume kuajiriwa kwenye kampuni ambayo mume au mke wake ndiyo mmiliki?
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Wapendwa habari, nimeoa na bahati nzuri mke ni mjamzito kwa sasa, tatizo ni kuwa toka kawa mjamzito amekuwa kila akiingia jikoni anatapika, hivo ikabidi nimuweke sub, kidume nikaanza kuingia...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
unagombana na mpenzi wako inafika hatua mnaachana na kisha unamuomba akusamehe pale ulipo mkwaza na kuomba mrudiane lakini yeye anasema amekusamehe lakini hawezi kuwa na wewe tena kwenye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari ya wikendi wakuu. Najua kuna watu watakuja na hoja za kujikubali jinsi ulivyo na tamthilia za kukosoa uumbaji lakini ndio hao hao wenye minywele, mikalio na mikucha feki. Kwa wale ambao...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Nina mdogo wangu wa kike bahati mbaya tuko wawili tu wazazi walishatangulia sasa huyu mdogo wangu kumbe alipata mimba na kwa kuniogopa alijaribu kuitoa hiyo mimba sasa kama week moja hivi imepita...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Kwa kupitia muonekano mpya wa JamiiForums tumewaona kwa urahisi vinara wa kupost JamiiForums. Hawa watu kwa kweli wanahitaji pongezi especially super woman bibi yetu @FaizaFoxy Pia Nyani Ngabu...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…