Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ipi hivi leo baada ya kufika kazini nikaona nitoke kidogo nikaingia mahali hili kuiweka akili sawa.. Nilipoingia nikakutana na dada mmoja (namfahamu) baada ya salamu akaniomba simu mimi nikampa...
7 Reactions
85 Replies
8K Views
Kama unajitambua na unajua wajibu wa haya Mambo umepitia kwa walezi Basi kuzaa sio tatizo zaa mapema watoto Ni starehe Sana na wanakuja na neema neema.ukichelewa kuzaa utakuja kushindwa kukaa na...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Kichwa cha habari kimejitosheleza,, nishajaribu mara kadhaa hasa kwa wanawake wanaopenda ngono kulko chakula,, sikuwafukuza kwa shoo kali bali niliwaongezea petrol kwenye mioto yao Matokeo yake...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kama title inavyojieleza, yani nilianzaga kama utani baada ya kuona link ya sex chart kwenye group flani la commedy nikajoin ili nijue what's there siunajua tena ukiwa curious you always wana...
8 Reactions
264 Replies
58K Views
Napenda kuuliza jamani eti Utaratibu wa kumvalisha pete ya Uchumba mwanamke kama umezaa nae bila ndoa upoje??? Je lazima ndugu wawepo unapomvalisha au unawapa tu taarifa hasa wazazi kuwa nimepata...
1 Reactions
71 Replies
11K Views
Daaah hawa wachezaji wa wasanii wa kisukuma kama, N'gwana ishundu,Nyanda Masome,Nyanda Bugalama na mwanakamwa ni balaa Jamaa wanajua kucheza wanakata mauno balaa na wanaenda sana na beat Mademu...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Nina milioni 2 ya kuchezea kama kuna mwana jf yeyote yupo Zanzibar anichek tukaitumbue vunja mifupa kama nyama bado iko Atachagua mwenyewe twende nungwi jambiani twende fumba chuini au forodhan...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Habar za muda huu wanaJF Mimi sio mshauri ila kuna kitu huwa mara nyingi kina nijia kichwani na juzi tu kuna rafiki yangu kakigusia nikawa nimekikumbuka nikaona ni share hapa. Watu wengi katika...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu? Natumaini ni wazima wa afya naombeni ushauri kuhusu hili japo ni msichana ambaye nilianza nae uhusiano toka mwaka Jana mwezi wa 8. Mahusiano yetu yalikuwa mazuri sana na upendo...
6 Reactions
75 Replies
7K Views
Wadau kuna watoto wakali sana pande kwa wale mabaharia wenzangu ukipata muda tembelea izo pande Uzi tayar
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Vijana siku hizi mnatuweka kwenye difficult position kina sie of a certain age. Tumekuzwa tukitumia neno kugegeda very innocently. Muhogo mbichi unagegedwa, muwa unatafunwa na mfupa (wenye nyama)...
3 Reactions
6 Replies
4K Views
Huyu binti nimetokea kumzimia, ni mwanaharakati kijana, ni mzuri hasa, Mtoto wa kikurya, Rahma Mwita a.k.a Rahuuu, nimekufatilia kwa muda mrefu huko twitani nikagundua jimbo lipo wazi, kwa ruhusa...
0 Reactions
27 Replies
9K Views
1. *Muombe pesa😬* 2. *Weka hata Alarm ikukumbushe kumuomba pesa😬* 3. *Usichoke endelea kumuomba pesa hata kama amekupatia siku si nyingi* 4. *Akikutumia mwambie mbona umetuma kidogo?* 5...
23 Reactions
210 Replies
20K Views
Habari wana jamii. Naomba mnisaidie yapata miaka mitano sasa toka nimekuwa naye kwenye mahusiano na tukapanga kuoana mwaka huu mwez wa 4 huu mpango tuliuweka toka mwaka 2012. Cha ajabu namuuliza...
1 Reactions
86 Replies
9K Views
Za masiku? Yaan nilichogundua kwa miaka ya leo,ukitaka kuoa au kuolewa ni bora UJITOE MUHANGA TU.No kuchagua chagua chagua au kuchunguza chunguza.Moyo umependa we oa,moyo umependa we olewa.NI...
4 Reactions
58 Replies
5K Views
Chura matata kiuno nyugwi ujauzito unamuelemea mpaka anashindwa kusoma,kama unavyojua ujauzito unavyosumbua miezi ya mwanzo.Ameshauri kama inawezekana aitoe....ili akamilishe masomo ya chuo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wazee kwema! Kuna karembo nili do naye jana jioni leo nimecheza game mpaka sasa nimeliwa sh. Elfu hamsini.Nimepumzika kwasasa, nahisi nikiendelea kucheza mpaka usiku taunguza hata laki moja. Mimi...
2 Reactions
60 Replies
6K Views
Natafuta Girlfriend Alie serious ili awe mke mtarajiwa, umri 18-27, asiwe mfupi Sana, dini maelewano
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…