Msaada Kuhusu pete ya uchumba.

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
21,485
41,890
Napenda kuuliza jamani eti Utaratibu wa kumvalisha pete ya Uchumba mwanamke kama umezaa nae bila ndoa upoje??? Je lazima ndugu wawepo unapomvalisha au unawapa tu taarifa hasa wazazi kuwa nimepata mchumba na pete nishamvalisha bila wao kumuona physically na vip kuhusu kwenda kanisani maana me ni mkristo???

Pia vipi kuna uwezekano wa kufunga harusi kanisani wakati tuna mtoto tayari?? Nahitaji mwanga kidogo hasa wenye experience na hili suala zima.
 
Unasali kanisa gani? kwa sisi walokole hatunaga mambo ya kubariki ndoa yaan kama mmeshaishi au kuzini au kuzaa. Kama sio mpentekoste kuna kitu kinaitwa kubariki ndoa. Inakubaliwa. Cha kwanza nenda kwao binti ukatoe mahali then unamvika engagement siku ya mahali ( hii hata kama mmeshazaa), then ukimaliza mambo ya mahali nenda kanisa unalosali kwaajili ya process za kubariki ndoa.
Note: Anza kwenda kwao kwaajili ya kutoa mahali na kupewa fine za kumzalisha binti wa watu
 
Kama hujui vitu vidogo kama hivyo basi nikushauri usioe kwanza kausha walau mwaka mmoja zaidi.
Ni kuamua tu mwenyewe utaratibu unaoona ni mrahisi kwako ambao utaendana na bajeti yako. Ya nini kualikwa watu weeengi uingie gharama, aubya nini hadi ukafanyie ukumbini hata nyumbani panatosha.
 
Kwao wananifahamu na nilienda kujitambulisha baada ya kujifungua kuhusu mahari ndo bado mkuu...!! Duuh kumbe pete mpaka mahari nilipe
 
Utambulisho kwanza Ila kuvishana Pete Ni mpk uwe umelipia mahari n kanisani ndoa unafunga Ila lazma urudi kundini wewe na mchumba wako
Hii ya kurudi kundini kweli maana me Ni mlutheri..!! Vip Kubariki ndo na harusi tofauti yake ni nini?? Au tofauti ni kiimani zaidi lakini mavazi hata ya kuvaa siku ya sherehe kama shela yanafanana???
 
Kwao wananifahamu na nilienda kujitambulisha baada ya kujifungua kuhusu mahari ndo bado mkuu...!! Duuh kumbe pete mpaka mahari nilipe
Yes, pete ni mpaka mahari, halafu unadhani wazazi watajisikiaje kumwona au kusikia mtoto wao kavalishwa pete huko. Nenda katoe mahari kwanza na wengi hua wanawavalisha pete siku ya mahari au ukitaka baada ya mahari utakua huru kumvalisha
 
Hii ya kurudi kundini kweli maana me Ni mlutheri..!! Vip Kubariki ndo na harusi tofauti yake ni nini?? Au tofauti ni kiimani zaidi lakini mavazi hata ya kuvaa siku ya sherehe kama shela yanafanana???
Harusi means ni fresh hamjawahi kuishi pamoja but kubariki ndoa ni pale mmeshaishi au kuzaa then mnabariki ndoa ili iwe halali. Pia achana na anayekushauri eti uhairishe, ukiahirisha means utaendelea kuishi katika uzinzi. Bora ubariki ndoa ili uwe huru
 
Ahaa nimeshaelewa mkuu ila Sherehe zote sendofd na harusi zinafanyika??
 
Kwao wananifahamu na nilienda kujitambulisha baada ya kujifungua kuhusu mahari ndo bado mkuu...!! Duuh kumbe pete mpaka mahari nilipe

Pete bila mahari ni sawa na kula ndio unawe mikono .... Mahari ni muhimu mara milioni kuliko hata hiyo pete, pete ni zawadi tu kwa mpenzi wako, I mean zawadi kama zawadi nyingine yoyote ile lakini mahari ni heshima kwa mke na familia yake pamoja na unyenyekevu wa ombi la kukubaliwa mke na wazazi.

Kwa kifupi, kama mahari ni gari then pete ni kale ka taa ka juu ndani ya gari ambako, ukifungua mlango huwa kanawaka
 
Napenda kuuliza jamani eti Utaratibu wa kumvalisha pete ya Uchumba mwanamke kama umezaa nae bila ndoa upoje??? Je lazima ndugu wawepo unapomvalisha au unawapa tu taarifa hasa wazazi kuwa nimepata mchumba na pete nishamvalisha bila wao kumuona physically na vip kuhusu kwenda kanisani maana me ni mkristo???

Pia vipi kuna uwezekano wa kufunga harusi kanisani wakati tuna mtoto tayari?? Nahitaji mwanga kidogo hasa wenye experience na hili suala zima.
inaelekea ww hauendagi kanisani wala jumuiya
 
Ahaa nimeshaelewa mkuu ila Sherehe zote sendofd na harusi zinafanyika??
Yes zinafanyika. Kilakitu kinafanyika kama harusi. Usichelewe mkuu, ni jambo jema mbele za Mungu na wanadamu kuishi katika ndoa takatifu. Cha msingi waambie wazee wako mpeleke mahari kwao binti. Hata kwao binti watafurahi na kujisikia vizuri kua unaenda rasmi na kwa heshima ukienda na wazee wako
 
Kama hujui vitu vidogo kama hivyo basi nikushauri usioe kwanza kausha walau mwaka mmoja zaidi.
Ni kuamua tu mwenyewe utaratibu unaoona ni mrahisi kwako ambao utaendana na bajeti yako. Ya nini kualikwa watu weeengi uingie gharama, aubya nini hadi ukafanyie ukumbini hata nyumbani panatosha.
huyu jamaa ni mweupe kwa kweli asubiri kidogo
 
Unasali kanisa gani? kwa sisi walokole hatunaga mambo ya kubariki ndoa yaan kama mmeshaishi au kuzini au kuzaa. Kama sio mpentekoste kuna kitu kinaitwa kubariki ndoa. Inakubaliwa. Cha kwanza nenda kwao binti ukatoe mahali then unamvika engagement siku ya mahali ( hii hata kama mmeshazaa), then ukimaliza mambo ya mahali nenda kanisa unalosali kwaajili ya process za kubariki ndoa.
Note: Anza kwenda kwao kwaajili ya kutoa mahali na kupewa fine za kumzalisha binti wa watu
Vipi akiwa ni mpentekoste ndio haruhusiwi kabisa kufunga ndoa na huyo mwanamke ama?
 
Back
Top Bottom