Maamuzi magumu

Maamuzi magumu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,939
Reaction score
61,733
Chura matata kiuno nyugwi ujauzito unamuelemea mpaka anashindwa kusoma,kama unavyojua ujauzito unavyosumbua miezi ya mwanzo.Ameshauri kama inawezekana aitoe....ili akamilishe masomo ya chuo kwanza...baada ya hapo ndio abebe.Kwa kumuonea huruma nimemwambia nakusikiliza wewe na kukuacha siwezi.Kama ungekuwa ni wewe ungefanya maamuzi gani?
 
Sijawahi kushiriki kwa namna yeyote ile kushawishi au kuhamasisha au kuwezesha mwanamke atoe mimba na sitojaribu kujihusisha na hilo, naomba Mungu anisimamie kwa hili
 
We mume wa mtu badala uhudumie ndoa sahz lkn hukauki jf kwa thread zisizo na kichwa wala mguu(nakutania lkn
Huyu jamaa mbona muda wote tupo nae kilabuni. Hiyo ndoa kafunga lini ?
ila jf watu wengi ni aged sana isipokuwa wachache sana sijui ni kwanini.
 
Sijawahi kushiriki kwa namna yeyote ile kushawishi au kuhamasisha au kuwezesha mwanamke atoe mimba na sitojaribu kujihusisha na hilo, naomba Mungu anisimamie kwa hili
Tatizo linakuja pale,anakuambia inamuelemea na atalazimika kuahirisha mwaka,na unavyojua hawa wenye miili mikubwa huwa zinawapa sana changamoto.
 
Mimi hamu yangu na raha ni kutia mimba kisha nilee mama na mtoto wake. Kuoa , hapana.
 
Tatizo linakuja pale,anakuambia inamuelemea na atalazimika kuahirisha mwaka,na unavyojua hawa wenye miili mikubwa huwa zinawapa sana changamoto.
Abortion ni abortion tu isipokuwa kwa ushauri wa daktari kwa lengo la kuokoa maisha ya mama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom