Namkunda OG
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 827
- 1,048
Habari wana jamii.
Naomba mnisaidie yapata miaka mitano sasa toka nimekuwa naye kwenye mahusiano na tukapanga kuoana mwaka huu mwez wa 4 huu mpango tuliuweka toka mwaka 2012.
Cha ajabu namuuliza tarehe yakuja nyumban anijibu, nikimtumia SMS hajibu nikipiga simu hapokei na yeye yupo Mbeya me npo Mwanza.
Na hapo nyuma nimekataa wachumba wengi sana kwa ajili yake, nipo njia panda sijui chakufanya, mawazo yenu ni ya muhimu sana.