Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wazee kwema! Kuna karembo nili do naye jana jioni leo nimecheza game mpaka sasa nimeliwa sh. Elfu hamsini.Nimepumzika kwasasa, nahisi nikiendelea kucheza mpaka usiku taunguza hata laki moja. Mimi...
2 Reactions
60 Replies
6K Views
Natafuta Girlfriend Alie serious ili awe mke mtarajiwa, umri 18-27, asiwe mfupi Sana, dini maelewano
0 Reactions
9 Replies
1K Views
......Uwezi Amini,but ndo ukweli mabusha yanaongeza Akshi Kwa wanawake .....Dubwana linakuwa kama jeki na Joto na Hisia inaongezeka Kwa Wamama. ...Hakuna haja ya kuwa wapweke....wenye mabusha huu...
2 Reactions
2 Replies
737 Views
Aman itamalaki Sipend madem hawa wao kila saa wana lalamika tu bila mpango Usipompigia cm lisaa limoja tu analalamika utazan una mwaka hujampigia Ukipitiwa na usingizi bila kumtakia usiku mwema...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Maisha yanakwenda kasi sana, stori inaanzia kupitia kitabu cha isaya sura ya 4:1-2 inayosema “ Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wasalaam ! Wakuu nimeona nilete haka ka-uzi pengine utakuwa msaada kwa baadhi yetu tunao hangaika kujuwa mwanzo wa kuwapagawisha partners wetu. Kuna mengi sana lakini tuone haya machache kwa leo...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
.
0 Reactions
0 Replies
448 Views
Mke na mume walikuwa wakirudi nyumbani mida ya saa 2 usiku kutoka katika miangaiko yao ya kutafuta kipato.Walipofika nyumbani wakahisi nyumba yao imevamiwa, na ina mtu ndani kwa sababu mlango...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Samahani kama nitakuwa nimekuudhi au nimekugusa au nimegonga kwenye point Ila inasikitisha sana kuona Wadada waliovuka miaka 30 bado anatafuta bwana Handsome! Ivi hivi vitu vya u handsome bado...
4 Reactions
59 Replies
10K Views
Leo sitowasalimia coz nachoenda kuwahabarisha hakitawaacha wengi salama. Briefly, hakuna mwana MMU asiyependa sex....ile tu kupitia conner hii inaonyesha umeshawahi au unapanga kucheza na...
4 Reactions
79 Replies
6K Views
Duniani umekuja kuishi ,kudumu au kuwapa mateso wengine, maswali ayo unijia napo mtazama mama. Hongera kwenu nyinyi kwani kwenu akuna Kama mama , lakini Mimi ata sioni Kama anafahida kwangu. Kwa...
5 Reactions
49 Replies
5K Views
Binti mmoja mwanafunzi wa chuo akiwa ndani ya pantoni akivuka kutoka Magogoni kuelekea upande wa Kigamboni alimuona mwanaume Handsome akiwa ndani ya gari yake nzuri. Bila wasiwasi yule binti...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Hiki kisa kimempata shost yangu Shoga angu ana mpenzi ila wanakaa mitaa tofauti Katika mahusiano yao wapo tu kawaida,kila mmoja akitaka kukutana kimapenzi huwa wanakutana bila shida,ila miaka...
1 Reactions
74 Replies
7K Views
For past few days yaani mimi sina nguvu ya majibizano ya kila saa . Meaning ninao uwezo wakujibizana na mtu kama sio madharau au matusi. Unakuta mtu ni kizeee au amepita miaka 20 unatukana tusi...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
:p
1 Reactions
10 Replies
877 Views
Binafsi kwa trend yangu ya maisha ya ndoa nimegundua kuwa jinsi ninavyokua karibu na Mungu, yaan kuwa na mahusiano mazuri na Mungu basi hapo nakua nampenda Mke wangu kupita maelezo, sio kwamba...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari ya jumamosi. Naomba niwape tahadhari kwa mfumo wa swali wazazi wenye watoto wa kike. Mimi sio mzazi wa moja kwa moja, nikimaanisha sina mtoto wa kuzaa ila ni mzazi wa watoto wa wangine...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Kijana wangu mimi nilimpeleka kwenye shule nzuri niliyoweza kuimudu. Baada ya kulipa Ada ya shule inamaanisha maisha yetu yalikuwa ya kawaida sana. Niliishi bila nguo mpya kwa miaka takriban...
18 Reactions
73 Replies
6K Views
Habari MMU. Naombeni kujuzwa faida na hasara za kuoa wanawake wengi.
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom