Kama uko Zanzibar nitafute

Kama uko Zanzibar nitafute

manchoso

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
1,605
Reaction score
2,058
Nina milioni 2 ya kuchezea kama kuna mwana jf yeyote yupo Zanzibar anichek tukaitumbue vunja mifupa kama nyama bado iko

Atachagua mwenyewe twende nungwi jambiani twende fumba chuini au forodhan huyu kijana aliimba aisee

Just tulifresh mind tucheke tuinjoy huku tukikumbushana story za akina britanicca Mshana Jr Kasie Miss Natafuta MO11 Shunie Informer barafu.......aisee list ni ndefu long live jf!!

Ladies watapewa kipaumbele
 
Aisee sitaki kuamini kwa nini usipande bot ukageuza?@Kasie matata anyway next time
 
vunja mifupa kama meno bado ipo ( mifupa haivunjwi na nyama)
 
Kwa jinsi kulivyokuwa na ukata na upungufu mkubwa wa midume rijali, usishangae inbox yako ikafurika na msg toka kwa midume ikitaka kwenda kuenjoy na dume mwenzao.
 
Kwa jinsi kulivyokuwa na ukata na upungufu mkubwa wa midume rijali, usishangae inbox yako ikafurika na msg toka kwa midume ikitaka kwenda kuenjoy na dume mwenzao.
Aisee ntafanya uchambuz yakinifu nasikia kuna midume mingine ina Id za kike humu
 
Kwenye story zako Usisahau hii ya dk shika

Kwa jinsi kulivyokuwa na ukata na upungufu mkubwa wa midume rijali, usishangae inbox yako ikafurika na msg toka kwa midume ikitaka kwenda kuenjoy na dume mwenzao.
niliwahi kukaa sehemu moja CCM wakati napata zangu kinywaji akaja jamaa mmoja akaomba kukaa na mimi nikasema poa (ugeni huu) baadae alikuja jamaa mmoja namfahamu akaniuliza umekuwaje wewe? (sikumwelewa)

maana story zilikuwa zinaenda kama kawaida, akahama akaenda kaunta akanitumia msg kuwa hilo jamaa ni shoga na hapo wanaomjua watajua umebeba mzigo.

nilihama dakika hiyo hiyo.
 
😎😎😎😎😎😎 sidhani, hata yeye kamalizia ladies watapewa kipaumbele
Ni kweli aisee shukrani nyingi zimfikie mfalme wa wafalme aliotuumbia wanawake.

Wakikosekana ladies fresh tutainjoi na msela kama atakuwepo
 
Kwenye story zako Usisahau hii ya dk shika

Mzee wa 900 itapendeza 😀 pamoja sana mkuu
 
niliwahi kukaa sehemu moja CCM wakati napata zangu kinywaji akaja jamaa mmoja akaomba kukaa na mimi nikasema poa (ugeni huu) baadae alikuja jamaa mmoja namfahamu akaniuliza umekuwaje wewe?

maana story zilikuwa zinaenda kama kawaida, akahama akaenda kaunta akanitumia msg kuwa hilo jamaa ni shoga na hapo wanaomjua watajua umebeba mzigo.

nilihama dakika hiyo hiyo.
siku hizi inabidi uwe na mashaka hata na wanaume wenzio. Unaweza jiona uko na msela kumbe linakulia timing ukalipakue.
 
Back
Top Bottom