Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,779
Vijana siku hizi mnatuweka kwenye difficult position kina sie of a certain age. Tumekuzwa tukitumia neno kugegeda very innocently.
Muhogo mbichi unagegedwa, muwa unatafunwa na mfupa (wenye nyama) unang'ong'onwa.
Leo hii hatuwezi tena kusema hadharani kuwa "nilikuwa nagegeda muhogo". Ah! Nyie vijana! Basi tu.