Natafuta Girlfriend

Natafuta Girlfriend

Joined
Mar 11, 2019
Posts
5
Reaction score
2
Natafuta Girlfriend Alie serious ili awe mke mtarajiwa, umri 18-27, asiwe mfupi Sana, dini maelewano
 
Yaleyale tu.....vijana hamjui kutongoza siku hz....HV mtaani kwenu huko hamna wanawake kweli
Pia nkuulze umekosa watu uko kwenu wa kujadiliananao mpaka uje jamiiforums, labda nkuelishe, huu ni mtandao ambao unaoufanya watu wote Dunian kuwa Kama kijiji kmoja, umezaliwa kwenu imekulia kwenu lazma utafte new challenge ndomna ata wew sasaiv uko umu kufany discussion wakat mtaan kwenu Kuna watu weng
 
Ungese tu.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom