Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hbr wakuu, Nimerudi tena, baada ya kutanga na dunia nikakutana na mkaka mmoja tulikuwa marafiki kwa muda usiozid mwaka, jamaa huyu alikua ananitaka basi baada ya kumsumbua sumbua mwisho wa siku...
1 Reactions
73 Replies
8K Views
Naandika Uzi huu nikiwa na huzuni na hasira sana moyoni Ingawa siamini masuala ya nguvu za giza, ila haya maneno neno ninayoyasikia yananitia hasira sana Na nikikumbuka mazingira ya nyuma ya...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu! Ninaandika nikiwa na akili timamu na kujiamini kuwa mume au mke anapatikana popote panapokutanisha watu hata mitandaoni. Niseme kweli kwasisi...
8 Reactions
91 Replies
12K Views
Sasa hivi ni kama mwezi wa tisa mke wangu hana hamu na mimi kabisa. Tunaweza kaa hata week mbili hataki kusex hadi atake yeye na hapo ndio huwa simuelewi maana huwa namfikisha vizuri tatizo...
11 Reactions
209 Replies
30K Views
Kwanza nawaombe Radhi / Msamaha Wakenya wote kwa Watanzania hasa baada ya Kiongozi wao Mmoja Mduduna ( Mpumbavu ) kabisa Jaguar kutoa Kauli mbaya, ya Kichochezi na Kibaguzi dhidi ya Raia wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika mishe zangu za hapa na pale nikakutana na chura ya wastani,tukazoeana na mwisho wa siku tukabadilishana joto la mwili;kibaya zaidi amenogewa na mbaya zaidi ni mke wa mtu;kwa sasa anataka...
2 Reactions
34 Replies
7K Views
Kweli dada zetu saivi mnakaba si mchezo. Tatizo ni nini hasa. ni kwamba vyuma vimekaza au ni kitu gan hasa? Kuna bidada nilikuwa namtafutia sababu nimpige chini. Siku hiyo bwana nimejipanga...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
wakuu habari zenu...... nimeona nianze thread upya badala ya kujibu kila thread nayoiona, mbona malalamiko ya wanawake JF yamezidi? Mara wanawake akili sawa, mara wanawake hiki wanawake kile...
11 Reactions
41 Replies
4K Views
.....Kila Viswaswadu 10,Ujuhe 4-6 Watu wanaenda Uwani. Na Usipoomba tigo wanakuona mshamba Kinoma. NB:Sehemu sahihi zimechoka Mbaya..ndo maana Masela wanaamua kubadilisha LINE ili Afadhali Apate...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Iv kuna website wanauza matokeo ya mechi yan fixed score or correct score
0 Reactions
1 Replies
808 Views
.....Mwanaume mwenzangu Amka,Acha ujinga
0 Reactions
4 Replies
996 Views
Wakuu nimeikuta mail kwenye email yangu mda si mrefu. Nimeisoma sijaelewa kama ni real au matapeli wapo kazini. Ni kweli nimekuwa nikipitiapitia sites za Grants and sponsors lakini sijawah pita...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Skii skiiiiii Ohhooooo mtaani wananiita messi jinsi ninavyotiririka! It's me agaaain comrade kipepe a.k.a kipepe the giant! A.k.a KING OF THE JUNGLE! a.k.a mshambuliaji wa BUSH FC"!! Ebanaae Nina...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ohhoooo Ni comrade tena ndani ya JF, nipo hapa leo kuwapa heko wanawake na madem wote aseee! Bila nyinyi dunia hakuna! mnatufulia, mnafanya usafi wa nyumba, mnatupikia, mnalea familia, kiukweli...
4 Reactions
72 Replies
4K Views
Wakuu, Baada ya kutembea na wanawake mbali mbali, Siku moja nilijikuta natafakari kuwa ni kipi hasa nilichofaidika nacho kutoka kwa hawa wanawake ? Jibu liliuwa moja tu ni hakuna cha maana...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Inasikitisha sana kuona wanaume wanaonunua papuchi kwa ajili ya kupata huduma inazidi ongezekaa daily. Sasa tatizo ni suala la uchumi au tatizo ni hawa dada zetu ambao wametugeuza kama mitaji...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Iv wale wanawake waliokua wanalia na kutupiga makofi mgongoni kua tunawaumiza wakati wa kuwagegeda mpaka wakienda kujisafisha bafuni wanachechemea wako wapi?? Kauzi kembamba tayari!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hapo awali msimamo wangu ulikuwa kwamba nitaacha pombe endapo tu: 1. Nimeshauriwa na daktari kwa manufaa ya afya yangu. 2: Nimeishiwa kiasi kwamba kununua bia unakuwa mzigo mkubwa Nilishawishiwa...
5 Reactions
415 Replies
42K Views
Kwa niaba ya wanaume wote wanaonukia vizuri na kuvaa vizuri nawasilisha hili Leo nikiwa tumesimama na mdada sehem hivi tukiwa tunangoja Huduma za kawaida za kijamii basi akawa ananishangaa sana...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…