Kuna Mambo unaweza kuyafanya ukiwa unajua kwa asilimia zote uko wrong lakini kuyaacha unashindwa, Sio muumini wa thread za mapenzi japo ni sehemu ya maisha yangu but nauona kabisa mwisho wangu...
Eti inakuwaje wanawake wenye vigenge vya mashoga ndio wanaoongoza kwa tabia zisizo rafiki kwenye mahusiano yani tamaa na wao kupenda makuu zaidi kuliko wale ambao wako socially independent? Yani...
Chamkieni fursa hiyo haijirudii mara mbili,ofa inaisha mwezi wa nane tarehe nane..
anatafutwa mwanamke wa kuolewa mwenye vigezo hivi
*Uwe mfupi
*uwe mweusi tiiiii
*uwe na kitambi kiasi
*uwe na...
Hii tabia ni mbaya na ni dhambi kubwa kumsingizia mpenzi wako mwizi kwa kisingizio cha kuzenguana
Ni mara ya pili nataka kushuhudia tukio la hivi,Mara ya kwanza nikiwa chuo,mwanamke alikuwa na...
Wakuu nimekua mhanga sana wa kujichua, nimekuwa nikifanya hivyo tangu nimevunja ungo.
Hali hii imefanya nabadili wanaume sababu kila naedate nae najikuta hanilidhishi hata tukienda 30mns non...
nimewahi sikia si chini ya mara mbili na wengine unakuta ni walokole wanaosema hivyo! hivi jamani wine sio pombe? au sababu ni tamu! ninavyojua mimi wine nyingi zina kiasi kikubwa cha pombe kuliko...
Wadau kuna mwanamke mmoja tumeanza mahusiano tuna mwezi sasa lakini kabla ya hapo tulikuwa tukifahamiana na kuwa na urafiki wa kawaida ingawa nilikuwa ninaonyesha kuwa mimi ni mtu ambaye nina...
Hizi ndio nyakati bora kabisa za kuunganisha nguvu. Hapa nalenga watu waaminifu pekee.
Dunia ya sasa inawatesa sana watu waaminifu. Kila aina ya baya ama ovu linalofanyika waathirika wakubwa ni...
Nilichokigundua ni kuwa wanawake wakishafikisha miaka 35+ huwa hawakatai wakitongozwa, sijui ni kwanini.. Lakn ukitaka papuchi kama hautaki kusumbuana na majibu yasiyoeleweka basi watafute hao...
Mimi huwa najiuliza ga hivi mnaoenda club au tamasha ya mziki ni huwa mnafuata starehe au kuna vitu vingine mnafuata. Mimi nilijaribu siku moja tu nikasema haitakuja kutokea tena kuja maeneo kama...
Habari wakuu. Kuna swala naomba tushirikiane maana imekua argument. Kutokana na maswala ya matatizo ya uzazi kuongezeka siku hadi siku na mfumo wa kimaisha ulivyo ambapo wengi huchelewa kupata...
Kabla ya KUONA au KUCHAGUA mchumba mwombe Mungu kwanza kuwa "unamuhitaji mchumba ambaye utamwoa au atakuoa na kutengeneza ndoa pamoja naye kwa utukufu wa Mungu".
Pia mwambie Mungu kwamba, "Mungu...
Habar za asubuhi.
■Wakuu kuna mwanamke amehamia apartment za hapa mtaa wetu siku sio nyingi sana. Ana mtoto mmoja na huwa tunaona jamaa anakuja juma mosi asubuhi na kuondoka mida ya jioni...
Habari za weekend wana JF.
Kuna mdada mmoja imetokea kuzoeana na tunaishi mitaa ya karibu ( sio mtaa mmoja)
Anauza duka la hardware pale kariakoo la babake (Japo yeye ameniambia baba yao...
Kilio chetu wengi wanaume wa zama hizi tunawahi kufika kileleni na huku tukiwa tumeathiriwa na stori ngingi za vijiweni kuhusu suala hili.
Kwanza tuambizane ukweli kwamba mwanaume kwa mshindo wa...
habari zenu humu naombeni ushauri kuna mwanamke nimempenda ila siku namfata kumwambia hisia zangu akanimbia alikuwa na mpenz wameachana ila ni mjamzito na ina miez minne ila anaonesha ananipenda...