Watu wanao endaga club

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Mimi huwa najiuliza ga hivi mnaoenda club au tamasha ya mziki ni huwa mnafuata starehe au kuna vitu vingine mnafuata. Mimi nilijaribu siku moja tu nikasema haitakuja kutokea tena kuja maeneo kama haya maana kuna kelele hadi mtu unahisi kuzimia. Lakini nashangaa kuna watu wengine kila weekend wa naenda club. Sijui huwa wanafuata nini maana kama starehe kukaa nyumbani ku watch movie au kuenda kupumzika sehemu ya utulivu ni starehe nzuri kuliko yale makele ya kule club. Mimi sipendi tu zile kelele za mziki zinazo changanyika na sauti za watu za hovyo. Hivi ni kweli mnapata starehe kule?
 
Ukiona hivyo ww si mpenzi wa music

Japo mimi siyo mpenzi wa kwenda club ila kusikiliza miziki ninayoipenda ni starehe kubwa mno kwangu tena ikiwa kwenye sauti kubwa hata earphones huwa nanunua zenye sauti kubwa na huwa nazijaribu pale pale dukani kabla sijazinunua yaani kwangu mimi miziki ni sehemu ya maisha yangu
 
Mkuu, kila mwanadamu ana aina yake ya starehe inayo mvutia kuliko starehe nyingine.
Na ili tukamilike, basi lazima tutofautiane katika hili "starehe".
Na sio kila starehe anayo ipenda mmoja, basi lazima imfurahishe na mwingine...
Sasa kwa yale makelele starehe inatokea wapi? Hmmmh Kweli watu tunatofautiana
 
Japo mimi siyo mpenzi wa kwenda club ila kusikiliza miziki ninayoipenda ni starehe kubwa mno kwangu tena ikiwa kwenye sauti kubwa hata earphones huwa nanunua zenye sauti kubwa na huwa nazijaribu pale pale dukani kabla sijazinunua yaani kwangu mimi miziki ni sehemu ya maisha yangu
Hata mimi napenda mziki lakini sio wa sauti kubwa hadi iwe kero
 
Back
Top Bottom