livewise1
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 837
- 972
Habar za asubuhi.
■Wakuu kuna mwanamke amehamia apartment za hapa mtaa wetu siku sio nyingi sana. Ana mtoto mmoja na huwa tunaona jamaa anakuja juma mosi asubuhi na kuondoka mida ya jioni pale(nahisi ni partner wake)
■Mtoto wake anapenda sana kukaa karibu na mimi na akiniona narudi kutoka mihangaiko anakuja mbio kunipokea basi ikapelekea nikawa nakabebea vijizawadi (si wajua watoto tena)
■Mama ake akija kumchukua inakuwa ugomvi dogo hataki kuondoka labda nimchenjie mimi au nimpe kitu tumbembeleze ndio anakubali.
■Mwanzoni mamake alikuwa anapaniki sana baadae akawa cool, kadri siku zinaenda naona na mama mtu kaelemewa.
■Asipomuona dogo anakuja kwangu asipomkuta ananiomba nimsaidie kumtafuta. Sasa akaanzisha story kama kunichimba flani how I live na kwa vipi nina hulka ya kuwa nurture watoto.
■Kumbe bana kashaambukizwa na mwanae upendo, jioni jana kaja kanisaidia vijikazi vingi tu (alikuja kumchukua dogo) wakati tunaongea akaniambia "MY CHILD HAS BECOME A BRIDGE TOWARDS YOU"
nikamwambia sijakupata, akasema "I LOVE YOU, MWANANGU KANIAMBUKIZA"
.
(hakuwa na woga asee)
.
.
nikamwambia tutaongea kesho saivi muda umeenda kuna mahali naenda (nilialikwa na mdada flani super na alishaanza kuni text)
NB: HII ISHU IMETOKEA JANA.