Anfibix
Senior Member
- Dec 1, 2018
- 190
- 308
Habari wakuu. Kuna swala naomba tushirikiane maana imekua argument. Kutokana na maswala ya matatizo ya uzazi kuongezeka siku hadi siku na mfumo wa kimaisha ulivyo ambapo wengi huchelewa kupata watoto sababu ya kusubiri kuwa na kipato cha kutosha au ndoa, so mtu anajikuta anaanza kutafuta mtoto from 29 na kuendelea. Je hili swala ni sawa na je ni vyema kutanguliza familia au career (kazi) kwenye maisha? Na je ni vipi tutaweza kukabiliana na maswala ya uzazi hasa pale umri unapoenda bila kuwa na kipato cha kutosha kulea mtoto. Asanteni