Habari wana jf,
Kulingana na kichwa uzi wanawake wenyewe ni kama wafuato:-
1:Sura mbovu kama au sura kama lemi ongala
2:Awe jimama yani nalichinjilia mbali!
3:Awe ameweka picha yeyote ya...
Wanaume hebu tuwe na kikao kifupi hapa.
Hili tatizo la *kibamia* linaathiri saikologia ya wanaume wengi sana hasa zama hizi ambazo unaweza pata mpenzi alishakuwa na mabaharia kama 20 hivi so ni...
Kama una mke au mpenzi anaimba kwanya hizi za kanisani basi andikia maumivu, wale walimu wa zile kwaya bwana wanakula sana wanawake wetu
Kuna kwaya moja ya kanisa la sabato huwa wanafanya mazoezi...
Ni kuwa mke wako amesahau ku charge simu, yuko field hivyo hakuna sehemu ya kucharge simu mpaka jioni.
Kuliko akose mawasiliano unaweza kumpa simu yako yenye full battery aende nayo kazini wakati...
*YOUR WIFE*
_*19 ways to fix your wife - before/when she is falling apart!*_
_Your wife can be dying in silence while still performing her wifely duties._
_you will need to know her to know...
Huyu demu nimekutana nae jana pale kiwandani kwangu, sikuwa na simu kwa wakati huo kwa sababu nilikuwa busy, nilimpatia namba yangu ikiwezekana anicheki mida flani ya Night,
Ukweli usiku...
habari wana jamii forums,natumain nyote wazima na wale ambao afya zao haziko fiti mungu azidi kuwafanyia wepesi mpate kupona.
twende moja kwa moja ,
katika maisha yangu sikuwahi kufikiria kama...
Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 7 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu.
Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba...
Nimeamini kweli suala la kusex kwa mala ya kwanza si jambo dogo maana nimejionea mwenyewe.
Mimi ni kijana mwenye umli wa miaka 19 ivi katika kupambana kwangu sijawahi kufanikiwa
adi sasa...
Kuna Mambo unaweza kuyafanya ukiwa unajua kwa asilimia zote uko wrong lakini kuyaacha unashindwa, Sio muumini wa thread za mapenzi japo ni sehemu ya maisha yangu but nauona kabisa mwisho wangu...
Eti inakuwaje wanawake wenye vigenge vya mashoga ndio wanaoongoza kwa tabia zisizo rafiki kwenye mahusiano yani tamaa na wao kupenda makuu zaidi kuliko wale ambao wako socially independent? Yani...
Chamkieni fursa hiyo haijirudii mara mbili,ofa inaisha mwezi wa nane tarehe nane..
anatafutwa mwanamke wa kuolewa mwenye vigezo hivi
*Uwe mfupi
*uwe mweusi tiiiii
*uwe na kitambi kiasi
*uwe na...
Hii tabia ni mbaya na ni dhambi kubwa kumsingizia mpenzi wako mwizi kwa kisingizio cha kuzenguana
Ni mara ya pili nataka kushuhudia tukio la hivi,Mara ya kwanza nikiwa chuo,mwanamke alikuwa na...
Wakuu nimekua mhanga sana wa kujichua, nimekuwa nikifanya hivyo tangu nimevunja ungo.
Hali hii imefanya nabadili wanaume sababu kila naedate nae najikuta hanilidhishi hata tukienda 30mns non...
nimewahi sikia si chini ya mara mbili na wengine unakuta ni walokole wanaosema hivyo! hivi jamani wine sio pombe? au sababu ni tamu! ninavyojua mimi wine nyingi zina kiasi kikubwa cha pombe kuliko...