Hili ni tukio ambalo limenitokea live hapa mtaani kwetu.
Hapa ninapoishi mtaani japo nina muda kidogo tangu nihamie, sijaweza kujichanganya sana kiasi cha kufahamiana na watu wengi kivile...
Natumai muwazima wa afya wote mnaotumia JF.
Namtafuta rafiki yangu huyu wa muda mrefu sana, ni kitambo sana sijaonana nae yapata miaka 5 sasa na nilipojaribu kwenda alipokuwa anaishi niliambiwa...
Wanaume oyee[emoji123], kuna kipindi dada zetu walitunyanyasa sana kila kona sio jf, fb, insta mpaka tweeter vibamia bamia ila sahivi tumewapa adabu zao kimyaaa.
Dada zetu vp mtakuja na mpya...
Wanajamvi na imani mpo salama usalmini,bila ya kupoteza muda wacha nirejee katka mada yetu ya leo.Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza kuwa
MWANAMKE AKIWA NA SIFA 5 KATI YA HIZI[emoji1427]BASI...
Ningependa kuchukua wasaa huu kuwajulisha wana love connect kwamba ninatafuta rafiki wa kike ambaye baadae tukijaliwa nitapenda awe mke wangu na mimi niwe mume wake. Sifa zangu kwa ufupi ni kama...
Ukiachana na raha ya mapenzi pia kuna feelings za kuvimba unapokuwa na mwanamke mwenye heshima zake kwenye jamii.. Kama
1.Daktari bingwa
2.Manager wa bank
3.waziri
4.mbunge
5.mkuu wa mkoa na...
Ni mjadala ambao nimewakuta wanaume wanabishana sana
Walikuwa wanaume kama 6 hivi wakiwa kwenye kijiwe cha kucheza draft
Wanasema na nanukuu"Tunapenda wanawake hawa warembo lakini hawana...
SEHEMU 3:-
Karibu tena.
Sehemu ya 1 na ya 2 tuliangazia mahitaji 7 kati ya mahitaji yote 18 Muhimu ya Mwanamke ktk Mahusiano.Nayo yalikuwa ni.
(1)Amani ya Nafsi.
(2)Upendo wa Dhati...
Swali kwa dada zangu Assume una mahusiano na wanaume wawili,mmoja ana hela Ana uwezo wa kukupa vilaki mbili mpk tatu kwa mwezi na amekuahidi atakununulia gari lakini ana matatizo ya NGUVU za kiume...
Wewe mwanamke uliyeolewa na unachepuka na mume wa mtu. Ikitokea umefumaniwa na kuachwa na mumeo plan B yako ni ipi?
Ewe mwanaume uliye oa na unachepuka na mke wa mtu ikitokea mmefumaniwa au...
Na Joachim Mkwawa
[emoji2398]Rejesha Mahusiano Yaliyovunjika.
Habari yako ndugu na Mwanajamii mwenzangu.
Leo nataka uyajuwe,ujifunze na utimize wajibu wako kwa Mpenzi wako ama...
Wakuu
Kuna mahali nimesikia eti ukitaka kupata taswira halisi ya mdada basi we jifanye umejichanganya utokezee kwao mapema sana ile asubuhi.
Eti hapo ndo utaiona "taswira" yake halisi (na sio...
Baada ya kitambo flani kupita sasa na kina Dada wameamua kukaa vikao vyao pendwa,
Na kama mnavyojua mabaharia mpaka leo hatujui waliongea nini na Joka kuu kwenye kikao chao kule heden...
INASEMEKANA: Idadi ya watu inafikia bilioni 7.8 dunia nzima.
Wanawake ni bilioni 5.6
Wanaume ni bilioni 2.2
Hapo utaona busara inamtaka kila mwanamke kujitafakari kabla ya kumkataa mwanaume...
Habarini wana jamvi...
Yule dem aliyekuwa akiniona anakimbia leo nimemgegeda akiwa na rafiki yake yani picha lilikuwa hivi...
Baada ya kuwa ananikimbia sana nikawa najenga nae urafiki taratibu...
Mwanaume unatakiwa kuwa na ubongo wenye macho kujua wazo linakokwenda na masikio yenye mzani wa kupima kila kauli ,na moyo wenye utulivu kuweza kuwa na subira katika uwekezaji wa mapenzi.
Mtandao...
Ukiwa nae ukiona mwenzio anachart sana na simu hasa message (bila wewe kuona ) , muogope sana !
Ukiona akipigiwa cm anasogea pembeni au chooni , muogope kama ukoma !
Ukiona yeye (mwanamke) ndo...