Mwami Kabuyuki
Senior Member
- Dec 4, 2018
- 157
- 309
INASEMEKANA: Idadi ya watu inafikia bilioni 7.8 dunia nzima.
Wanawake ni bilioni 5.6
Wanaume ni bilioni 2.2
Hapo utaona busara inamtaka kila mwanamke kujitafakari kabla ya kumkataa mwanaume.
Zingatia kwamba, kati ya hao wanaume bilioni 2.2:
1. Bilioni 1 tayari wamekwishaoa.
2. Milioni 200 wako jela na wenye matatizo ya akili.
Wanabaki wanaume bilioni 1 tu [emoji23] .
3. Milioni 500 hawana kazi.
4. Kumbuka asilimia tano (5%) wamo kwenye ndoa za jinsia moja.
5. Asilimia tatu (3%) ni mapadri wa Katoliki. Hawaoi.
6. Asilimia kumi (10%) ni ndugu wa damu. Hawawezi kukuoa.
7. Asilimia ndogo inayobaki ni wazee kuanzia miaka 80.
leta Maoni yako au ushauri