Plan B yako ni ipi?

Plan B yako ni ipi?

iMind

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,206
Reaction score
5,439
Wewe mwanamke uliyeolewa na unachepuka na mume wa mtu. Ikitokea umefumaniwa na kuachwa na mumeo plan B yako ni ipi?

Ewe mwanaume uliye oa na unachepuka na mke wa mtu ikitokea mmefumaniwa au mumewe kajua na kuamua kumuacha mkewe, plan B yako kwa huyo mchepuko ni ipi?
 
Wewe mwanamke uliyeolewa na unachepuka na mume wa mtu. Ikitokea umefumaniwa na kuachwa na mumeo plan B yako ni ipi?

Ewe mwanaume uliye oa na unachepuka na mume wa mtu ikitokea mmefumaniwa au mumewe kajua na kuamua kumuacha mkewe, plan B yako kwa huyo mchepuko ni ipi?
Ndoa tu... Ukipanda mchina usitegemee kuvuna mhaya
 
Wewe mwanamke uliyeolewa na unachepuka na mume wa mtu. Ikitokea umefumaniwa na kuachwa na mumeo plan B yako ni ipi?

Ewe mwanaume uliye oa na unachepuka na mume wa mtu ikitokea mmefumaniwa au mumewe kajua na kuamua kumuacha mkewe, plan B yako kwa huyo mchepuko ni ipi?
Yaan nikiolewa sijawai kuwaza kuhangaika...mana NDOA ni kitu kingine bwanaaa...saivi bado nagusagusa sijapata penyewe.
 
Plan B itajulikana hiyo siku
 
Wewe mwanamke uliyeolewa na unachepuka na mume wa mtu. Ikitokea umefumaniwa na kuachwa na mumeo plan B yako ni ipi?

Ewe mwanaume uliye oa na unachepuka na mume wa mtu ikitokea mmefumaniwa au mumewe kajua na kuamua kumuacha mkewe, plan B yako kwa huyo mchepuko ni ipi?
Mwanume anachepuka na mume wa mtu???
 
Hawezi kuniacha
Uvumilivu una ukomo wake hasa kwenye mambo kama hayo, kuna bidada mmoja nayeye alikua anachepuka na kujitapa kwa marafik zake kuwa awezi kuachwa, saivi yeye na upweke n zaidi ya wapenzi
 
Back
Top Bottom