Zingatia haya ili usifumaniwe au kushikwa ugoni

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Ukiwa nae ukiona mwenzio anachart sana na simu hasa message (bila wewe kuona ) , muogope sana !

Ukiona akipigiwa cm anasogea pembeni au chooni , muogope kama ukoma !

Ukiona yeye (mwanamke) ndo anayekupangia pakwenda , muogope mno !

Epuka kupigana mapichapicha mkiwa wote !

Wasalaamu!
 
Kwani yeye anapenda kufumaniwa
 
Kwa mke wa mtu unaenda kutafuta nini? yaani watoa huduma wengi warembo waliojaa mitaani bado unajipa kazi ngumu ya kujifichaficha?
Waacheni wake zetu watunze familia vizuri
 
Ukiwa nae ukiona mwenzio anachart sana na simu hasa message (bila wewe kuona ) , muogope sana !

Ukiona akipigiwa cm anasogea pembeni au chooni , muogope kama ukoma !

Ukiona yeye (mwanamke) ndo anayekupangia pakwenda , muogope mno !

Epuka kupigana mapichapicha mkiwa wote !

Wasalaamu!
chat
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom