Wakuu Kwanza niwaombe samahan kwa wale niliowakwaza kwa namna 1 na nyingine.
Pili Jana nililala ndani lakini cha Ajabu saiv najikuta nipo nje sijui kwa nini.. Kwa wale Wachungaji na wenye mizizi...
Kwa Mara nyingine tena nasafiri kikazi naenda Brazil mimi ni mtanzania msomi kweli kweli.. Tafadhali ninamwacha mke wangu mpya kabisa wale wa mtaa wa masaki nyumba namba 504 HKF/4 msiende pale...
Weekend ya jana niliona nitoke kupiga mbili tatu usiku nikaopoa demu, nikapiga misuli ya maana asubuhi baada ya pombo kunikata demu yupo kitandani hajiwezi kuchungulia nikakutana na hii makitu...
SEHEMU YA 2.
Na Joachim Mkwawa
[emoji2398]Rejesha Mahusiano Yaliyovunjika.
Habari mpendwa;
Natumai umzima wa afya.
Karibu na uungane nami tena leo katika mada yetu na leo tupo sehemu ya 2...
Hii kitu nimenote sana kwa wapenzi wangu niliokuwa nao kwenye mahusiano zaidi ya miezi 6 na kuendelea, achana na hao ninaowala na kuwaacha kwa siku moja au wiki,
Wengi wao huwa wanaumia sana...
Katika kujifunza nilijaribu kupitia 'youtube' nikawa naangaliwa namna wanajeshi wa marekani wanavyopokelewa na wapenzi wao/familia baada ya kutoka huko walikodumu kwa kufanya kazi (nje ya nchi...
Kisasi kilichobora kuliko vyote ni kutokulipa kisasi kabisa.
Ni kutokumfugia chuki wala hasira kwa sababu kwa kufanya hivo itakufanya uendelee kumfatilia na kuzidi kuumia.
Kisasi kizuri ni kuamua...
Kwa nini tunapenda kulala na watu tusiowajua kiundani?Kwa mfano mwanaume/mwanamke unakutana na mpenzi wako ambaye sio mkeo au mume,kwa bahati mbaya mauti inamkuta akiwa kwako au mkiwa naye nyumba...
Hello, Naitwa Sandra, Nipo New York, nampenda mume wangu Sana, naweza kufanya chochote ili nimridhishe na kumfurahisha.. Lakini hivi karibuni, nimetokea kumpenda binamu wa mume wangu.. Tena...
Wana Jukwaa mpo?
Dunia inaenda kasi sana hawa viumbe aka wanawake wamekua na viburi sana. Wanawake wa sikuhizi ukiishi nae kwa kumlambalamba atakusumbua yaaani wanataka uwe unachapa vibao na fimbo...
Habari wakuu, natumaini siku ya leo inaenda vyema, katika mizunguko yangu ya siku ya jana nilikutana na dada mmoja hotelin katika maongezi ya hapa na pale nikamuuliza swali umeolewa au boyfriend...
Natumain mpo salama,
Nnamchumba wangu ambay tuna miezi mi 5 kwenye mahusiano yetu,majuz aliniacha na kusema hatak tena mahusiano, hatukua na ugomv ingaw ni mda nlishaon mapenz yamepungua toka...
Kwa nyakati tulizopo,wanaume tusipende wake za watu wala wanawake wasipende waume za watu hii ni kwa afya ya kuishi miaka mingi yenye amani na furaha tele.Ridhika na uliyenaye...kama ni gogo huyo...
Mapenzi ni kitu cha Ajabu sana. Mapenzi yaweza kumea mahala popote bila kujali lolote.
Compaund ambayo nakaa ina Nyumba 4 zote ni za kupangisha. Tumepanga watu tofauti kila mmoja na shughuli yake...
Wakuu siku nyingi nimekuwa nikitamani hii kitu, Siku ya Jumanne ya tar16/07/2019 ndio siku
Nimechukua hatua hiyo. Tofauti na nilivyofikiria mapokezi yalikuwa mazuri na tuliandaliwa
chakula pale...
Aisee Katika manzi nnazozi'feel ni hii mamilox inayoitwa Halima Mdee,Halima Mdee Nampenda laana,yaani hata atembee na Machalii elfu18 mimi ntakua wa elfu19 Bablae,Yaani hata azeeke ntamwekea Picha...
habari wadau..
naona lawama nyingi kwa wanawake nowdays..
kwa ufupi tu wanaume tunapaswa tukubali ukweli maisha yamebadilika, na wanawake hawajaumbwa kuhangaika.. kwa hiyo wanahitaji security...
Binafsi nina miaka 30-34 naishi dar
Elimu yangu ni shahada ya kwanza
Dini ni mkiristo
Ninahitaji mwanamke ambae atakuwa mke wangu wa ndoa awe mkiristo kama mimi na umri kuanzia 24-26 asiwe na...