Katika kitu kinachowaumiza wanawake ni kutokuwaonyesha kama una Wivu nao

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Hii kitu nimenote sana kwa wapenzi wangu niliokuwa nao kwenye mahusiano zaidi ya miezi 6 na kuendelea, achana na hao ninaowala na kuwaacha kwa siku moja au wiki,

Wengi wao huwa wanaumia sana pale wanapoona siwafatilii kwa chochote, sishiki simu zao, ata wakipigiwa simu kuongea na watu ambao mimi siwafahamu sifatilii, kuna muda unakuta kabisa wanafanya vitu ili tu waone nimereact lakini mimi I don't care,

Yaani Sijari chochote kutoka kwao kitu pekee ninachofanya ni kuwaonyesha tu ile Real love ya wao kuwa free kwangu lakini siyo mimi kuwafatilia wao,

Hii kitu nimeona inawaumiza sana wanawake lakini inanifanya mimi kuwa free bila stress wala msongo wa mawazo, na wao,huwa wanajiuliza kwa nini inakuwa hivyo au siwapendi wengine huwa wanashindwa kuvumilia wanaamua kuniuliza kwa nini sina wivu nao?

.

Hii kitu nimenote kwamba kumbe wanawake usipowa onyesha Wivu huwa wanaumia sana kuliko ata maumivu ya kukosa Pesa.

Cc Zero IQ
 
Zero IQ Aka Zero Brain
 
mkuu ulichobaini ndio ukweli wenyewe, ukimwacha huru anakosa amani kabisa, aajabu unapombana ndio anahisi kupendwa.
 
Lakini kuna ukweli hapo hiyo kitu niliwahi ku experience muda kidogo kabra ya kuamua kua single rasmi.. Wanawake bana
 
Hii kitu nimenote sana kwa wapenzi wangu niliokuwa nao kwenye mahusiano zaidi ya miezi 6 na kuendelea, achana na hao ninaowala na kuwaacha kwa siku moja au wiki,

Wengi wao huwa wanaumia sana pale wanapoona siwafatilii kwa chochote, sishiki simu zao, ata wakipigiwa simu kuongea na watu ambao mimi siwafahamu sifatilii, kuna muda unakuta kabisa wanafanya vitu ili tu waone nimereact lakini mimi I don't care,

Yaani Sijari chochote kutoka kwao kitu pekee ninachofanya ni kuwaonyesha tu ile Real love ya wao kuwa free kwangu lakini siyo mimi kuwafatilia wao,

Hii kitu nimeona inawaumiza sana wanawake lakini inanifanya mimi kuwa free bila stress wala msongo wa mawazo, na wao,huwa wanajiuliza kwa nini inakuwa hivyo au siwapendi wengine huwa wanashindwa kuvumilia wanaamua kuniuliza kwa nini sina wivu nao?

.

Hii kitu nimenote kwamba kumbe wanawake usipowa onyesha Wivu huwa wanaumia sana kuliko ata maumivu ya kukosa Pesa.

Cc Zero IQ
Haujakosea mkuu ndo ipo ivo
 
Mahusiano ya mapenzi yanapendekeza yakiwa na wivu kiasi, wivu usizidi sana maana kila kitu kikishazidi kupita kiasi kinakuwa sumu.
 
Mkuu ziro,hiyo ni sahihi sana,tena ukitaka ufurahie maisha hata kama una mke,akiomba ruhusa siku 3 kwenda kwao wewe muongezee 7.
Kama anaenda mkoa anakaa wiki moja muongezee 3 hapo utafurahia maisha sana,
uko sahihi sana mkuu..
 
Kabisa mkuu mimi ndio nikogo hivyo, mwishowe wao ndio hujaga kuhofia na kukagua kagua ili waone kama unawasaliti
 
Back
Top Bottom