Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,262
- 64,378
Kwa nini tunapenda kulala na watu tusiowajua kiundani?Kwa mfano mwanaume/mwanamke unakutana na mpenzi wako ambaye sio mkeo au mume,kwa bahati mbaya mauti inamkuta akiwa kwako au mkiwa naye nyumba ya kulala wageni/hotelini ,hapo utafanyaje?Tujiepushe na haya mambo wakuu...