Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,810
- 61,488
Katika kujifunza nilijaribu kupitia 'youtube' nikawa naangaliwa namna wanajeshi wa marekani wanavyopokelewa na wapenzi wao/familia baada ya kutoka huko walikodumu kwa kufanya kazi (nje ya nchi yao),kuna moja niliipenda,baba aliondoka akamuacha mama mjamzito....amerudi mtoto ameshakuwa mkubwa kama miezi minne hivi;kwa ujumla zinafundisha sana katika kuimarisha uhusiano.Nashauri tuzifuatilie ili tuimarishe uhusiano na tulionao...inapunguza kwa asilimia kubwa sana kuchepuka chepuka hovyo.