Kuna jambo linanichanganya. Tunashuhudia mama mwenye watoto zaidi ya umri wa miaka 30 anafanyiwa sherehe ya kutolewa mahari, kwa mbwembwe kubwa, akiwa kama binti wa kwanza. Lakini cha kushangaza...
Nilikuwa kama vijana wengine,
Nikifurahia kutongoza wanawake tofautitofauti nikiwa na lengo la hit and run pengine🤷🏾♂️
Baada ya kujitambua na kujua kuhusu magonjwa na effects za kusex na...
Natafuta mke wa mtandaoni hasa JF.
Mke wa mtandaoni ni mke ambaye tutakuwa tunaandikiana mambo mazuri mtandaoni na kuoneshana mahaba mtandaoni ila hakuna kukutana na mtu wala kubadilishana namba...
Kataa ndoa wapo sahihi miaka dahari.Asubuhi ya leo nimeamka na tafakuri kuhusu dhana nzima ya mapenzi na mahusiano.
Katika tafakuri yangu nimeona ya kwamba neno mapenzi lipo kisiasa zaidi lakini...
Habari wana JF.
Ni matumaini yangu mu wazima,leo ninajambo lenye uzito ambao sielewi hatima yake.
Miezi kadhaa nyuma nilikuja kuomba ushauri kuhusu single mother aliye niambia amepata...
Hello Jf members👋
Leo bhana wakati nakagua kagua simu hapa nikaona convo ambayo sikua naielewa maana hata namba haijasaviwa,. Nikashangaa how imekuwaje simu ni yangu na sijui kama mazungumzo ya...
Mwanaume umeshajua wewe ni mnene umejinenepea kama kiboko basi jisitiri.
Kwa nini unatutia aibu kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika makalio yote mpaka juu?
Kwa nini uvae T shirt au shati ndogo...
Watoto wengi wa kike siku hizi wanatapeliwa kirahisi sana miili yao kwasababu kuna maneno wanayoambiwa na boys ambayo nyumbani hawaambiwi. Sasahivi imezoeleka kuwa maneno kama "NAKUPENDA"...
Ila sisi wanaume tunadhambi sana mdada wa watu anajitahidi kwenye kitanda akuonyeshe mautundu kwa ahadi ya kufunguliwa pharmacy baada ya kuzaa pharmacy ndio hio hapo chini sasa🤣🤣🤣👇👇👇👇
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Poleni kwa kuchoma mahindi, la kumshukuru Mola leo tumeendelea sio kuendekeza lawama za kwanini nilipotea.
The Gay Client.
Sasa nikiwa na muwaza huyu mtu mzima...
Hii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno.
Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka.
swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki...
Kwenye harakati zako za kufukuzia mrembo, ulitumia muda gani mrefu kumpata Demu?
Mm binafsi nilimfukuzia Demu kwa kipindi cha miezi 4, tena alikuwa ananionesha dalili za kunikubalia.
Yani ile...
Habari za muda hope mko poa
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ,nauliza kozi ya uaskari ni muda gani wakuu msaada isije ikawa napangwa maana kuna raia (ke) tulipanga kuoana this year ila...
Miaka inasogea, teknolojia inapaa, lakini ndoa na mahusiano kati ya wanaume na wanawake yanazidi kuyumba. Na hapa sina haja ya kuchagua maneno mazuri: hii siyo ajali ya ghafla, ni kosa la kurudia...
Za siku nyingi humu ndani.. hope mko poa
Najua humu kuna wakongwe wa mahusiano naweza kupata kujua mawili matatu juu ya haya mahusiano
Nipo na mwanaume sasa ni miezi 6 ya mahusiano… nampenda kwa...
Habari wana JF
Natafuta mwanamke mwenye heshima na upeo wa kiakili , na kimaisha ambaye yupo tayari kuishi maisha ya ndoa yenye upendo, heshima na furaha.
Ndoto yangu ni kumpata mwanamke wa umri...
WanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.
Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.
Wakuu kama kichwa Cha...
Ameniahidi hata nimpige nimuue haondoki hata nifanyeje
Sababu za kumuacha ni upendo umepungua kwetu sote. Hivo ndani kila siku ni fujo tu nikatafuta wa nje nikazaa nae ila yeye wala hawazi...
Yaani tangu nihamie Dodoma 2019 nimekuwa mpweke sana, kama sio Madame B yule niliyejizoea wakati niko Dar 😔
Nikiamka asubuhi na kwenda kazini. Nikisharudi, kampani yangu ni Tv na games au simu...
Kama kuna mtu ananipenda humu asinichikulie vibaya, yeye aendelee kunipenda tu. It is the past, very long time ago
Amina na Ashura walikuwa wahudumu wa duka kubwa la Mpesa mkoani pale. First time...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.