Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hell Kuna wale watu wapo single mda mrefu sana wana kuwa na kaushauri fulani hivi wa kimbea na unafiki utasikia Wewe utulii na mwanamke mmoja kuna Ukimwi , gono, UTI au una hisi mimi sina upwiru...
8 Reactions
46 Replies
1K Views
Kwenye kufanya mapenzi mara nyingi wanawake wanafaidi zaidi kuliko wanaume. Wakisuguliwa ni utamu wa hali ya juu, wakikojolewa yaani hadi mashetani yatapanda, wakikojoa wenyewe yaani hadi neno...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Kuna muda nakaa chini na kufikiria kwa umakini sana kichwani mwangu, upendo wa kweli ni hadithi za kufikilika zisizo na ukweli ndani yake au ni kweli upendo wa thati upo katika maisha yetu...
4 Reactions
19 Replies
620 Views
Sina haja ya kuwasalimia coz mara nyingi huwa hamuitikii. Sisi wanaume wenye wake wasiokunywa pombe tunapitia wakti mgumu sana. Tunaongozana vizuri kwenda bar kuinjoy life but kufika huko bar...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Leo nimefanikiwa kung'oa pisi ya kingoni mixture mnyakyusa,,,,,Ndagaa fyijooo
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Nipo Tanga kwenye shughuli flani. Kwanza huu mkoa wao kila siku ni burudani tu,hawana stress za maisha kabisa. Kilichonivunja nguvu kabisa ni hiki,huku Tanga mziki wao mkubwa ni taarabu. Sasa...
19 Reactions
27 Replies
1K Views
Mimi fundi simu hapa kariakooo ila mojawapo ya hekaheka ninazokutana nazo kwenye simu ni juu ya nywila a.k.a Password. Hili jambo limeachisha ndoa nyingi sana,unakuta mtu amechukua simu ya mkewe...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Nina swali kwa Pande zote mbili! Kwanza nianze na mabinti, vipi ikatokea Mungu akakupa mume kama alivyo baba yako? Sikulenga swali, Jitahidi kuelewa sana maisha yanataka nini, wanawake siku...
12 Reactions
127 Replies
4K Views
Kutoa pesa kununua UCHI/MALAYA ni ushamba, upumbavu, laana & zaidi ya yote ni dalili ya kuwa na IQ ya funza kula mizoga. Unawezaje kulala na mtu usiyemjua? Unawezaje kulala na mtu anayelalwa na...
56 Reactions
205 Replies
8K Views
Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari. Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa. Kuna kipi...
31 Reactions
356 Replies
15K Views
Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha. Hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu. Iwe...
37 Reactions
579 Replies
22K Views
Mwaka 2014, rapa Gucci Mane alimkabidhi mpenzi wake, Keyshia Ka’oir, dola milioni 2 ambazo ni sawa na (Tsh. Bilioni 5) za mwisho kabla ya kuelekea gerezani. Badala ya kutumia fedha hizo, Keyshia...
9 Reactions
13 Replies
788 Views
Apo kamfunga mumewe asitoke na mwanamke mwingine. Wanawake bana 🤣🤣
1 Reactions
5 Replies
476 Views
Mahakama ya Wilaya ya Maswa Mkoa wa Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Kijana aitwae Musa Shija (32) na kifungo cha miaka 30 jela Bi. Hollo Shija (36) kwa kosa la kujamiana hadi kupata...
7 Reactions
61 Replies
2K Views
Rasmi najiunga na Zemanda na Natafuta Ajira kwenye operation tokomeza simping! kwanzia sasa wakurugenzi wa hii operation naomba mnitag popote mtakapokuwa mnazungumzia hili swala. We gotta save...
10 Reactions
14 Replies
599 Views
Hamjambo Wote! Leo nimepokea kwa Masikitiko makubwa Taarifa ya Msiba wa Aunt Dory, Moja ya Wamama ambao walikuwa wananikubali Sana enzi za uhai wake. Taarifa hiyo nilipoipata moja kwa moja...
16 Reactions
132 Replies
5K Views
BINTI YANGU; UKIONA DALILI HIZI KWA MCHUMBA ANAYETAKA KUKUOA KIMBIA HARAKA SANA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwanza nilikuambia unatakiwa ujitegemee na uweze kujimudu mahitaji yako ya...
9 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume. Muonekano wangu ni...
18 Reactions
120 Replies
4K Views
Jinsi ya kumuona mtu utakae muoa au kuelewa nae (DIVINATION) Mahitaji/vifaa: 1: Apple jekundu 2: Kitana (sio chanuo) 3: Kioo 4: Chumbani peke yako 5: Muda saa 6-8 usiku Ufafanuzi: 1...
49 Reactions
714 Replies
129K Views
Wakuu habari zenu. Pamoja na ugumu wa mambo ya nchi yetu ningependa kutanguliza samahani kwanza hata mimi natambua tunayopitia hayaridhishi kabisa japo wachache wanufaika wanaona shwari tu...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Back
Top Bottom