Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa kipindi cha mda mrefu nimekuwa nikisikia na kushuhudia kesi zinazohusu ukwepaji wa matunzo kwa watoto zikiwakabili wanaume baada ya kutengana na wapenzi wao waliojaaliwa kupata mtoto au watoto...
6 Reactions
52 Replies
2K Views
Kuna uhusiano gani wa kisaikolojia kwa wanawake wenye elimu, wajuaji,wanaojiona wazuri,wenye mambo mengi au kujiona wajanja wa mjini,kuishia na wanaume dhaifu kwa maana wanaume ambao siku za nyuma...
19 Reactions
232 Replies
8K Views
Tukiwa tunatazama BBC na yanayoendelea kuhusiana na kifo cha Raila, nilijikuta naanza kuhesabu watu mashuhuri waliokufa na kuacha wake zao hadi leo. Nilianza na Nyerere, Kibaki, Moi, Magufuli...
6 Reactions
24 Replies
972 Views
Unakuta mdada ameshakula starehe za kila aina sasa anaona muda umeisha anaanza kusumbua vijana eti nioe tu wakati huo na mimi bado nakula ujana Wadada msitulazimisheni kuwaoa baada ya kuona umri...
21 Reactions
40 Replies
2K Views
Habarini, Tofauti na kichwa cha habari, katika pitapita zangu TikTok nlikutana na account ya jamaa mmoja mtanzania, anajiita Dr Julian sio mwanamziki wala sio muigizaji, hapost maisha expensive...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Nipo na tafakari nzito kichwani mwangu, naona mambo hayaniendei vyema kabisa. Ni zaidi ya mwezi mzima sasa namtokea huyu binti anashindwa kunielewa, najiuliza nitumie mbinu gani kumvuta kwenye...
10 Reactions
84 Replies
3K Views
Kama utabiri utatolewa alafu usitimie huo utabiri bila taarifa za uhakika kutoka kwa Mungu, utakuwa utabiri wa uongo. Kama kile kimeandikwa kwenye biblia kisiwe kama kilivyosemwa, tutakuwa hatuna...
4 Reactions
9 Replies
669 Views
Poleni sana na matatizo yanayoendelea nchini niseme ukweli najuta kuzaliwa nchi hizi za kiafrika. Tukiachana na hayo kuna tukio limetokea huku kijijini kwetu mtoto wa miaka 16 hivi alibakwa na...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Mimi naamini duniani lolote linaweza kutokea hata bibi wa miaka 90 kuzaa Mtoto, Je tuna wanawake ambao wapo Tayari Kufikisha 35 years bila kuwa na mtoto na ukawa na amani kusubiri zaidi Siku yako...
10 Reactions
76 Replies
2K Views
Niko bar hapa wanapiga kuachwa! kuachwa! Kuachwa ni shughuli pevu. Miezi kadhaa tulikuwa na mipango ya kutafuta eneo la kupumzika kwa muda kidogo. Tuliangalia maeneo mengi mazuri il ndio hivyo...
2 Reactions
11 Replies
929 Views
Ilikuwa friday kuna binti nikaona nimtongeze lengo likiwa nipate mtu wa kuongea naye siku hiyo just for funny siku iende. Nilimkuta dukani ananunua mahitaji yake nami nikipata mahitaji yangu...
1 Reactions
23 Replies
984 Views
Ma-mdogo Penny Shikamoo, samahani Nina sehemu nimeganda naomba unichomoe Money Penny: haya nambie mwanangu Mtoto: Ma-mdogo, me Nina Miaka 40, ninapenda Sana wanaume Umri mdogo lakini siwapati...
8 Reactions
231 Replies
18K Views
Hawa ni mtu na mkewe wa ndoa kabisa ambapa wamebahatika kupata watoto watatu kwenye ndoa yao lakini baada yakupima DNA imegundulika kuwa watoto wote watatu sio wa mwanaume huyu Yani Mwanaume...
9 Reactions
93 Replies
4K Views
Aisee Hii wakaka wabahili iwafikie habari za kulazimisha kuonana na mdada halafu mnaagana unashindwa kumpa hata elfu 2 ya nauli haipendezi tuna haribiana bajeti. Hiko hivi kuna huyo Kijana...
16 Reactions
106 Replies
4K Views
Kamsave kwenye simu au kumuweka kwenye status kama DADDY ananyenyekea na kumpa attention kukuzidi wewe. yupo tayari kujinyima ili apeleke ahadi au sadaka Yupo tayari kuacha kazi muhimu za nyumbani...
2 Reactions
5 Replies
435 Views
Eti tunaomba ushauri sisi vijana ambao hatujaoa
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Aiseee leo nilimpeleka wife saloon na usafiri wangu, akanipa cash nijaze mafuta ili nimfate baadaye. Wote ni watumishi. Ile kamaliza, katuma text “nimemaliza,” nikaanza kujipanga nimfate, mara...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Nyie vijana mnaodhani wanawake wanawapendea pesa au utanashati mnakosea sana. Ile natural attraction bado ipo, wewe tembea uone. Mnashinda mijini na mitandaoni huko ambapo kuna wanawake wenye...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Hivi mwanaume kabisa upo serious unasema una dem, ata nauli ya kukufuata ulipo hana mpaka umtumie , kuna jambo hapo kweli au ubwege? Mwanamke ata vitu vya msingi, basic needs hawezi kujigharamia...
13 Reactions
34 Replies
2K Views
Kuna mwenye hii style? Inaitwa marehemu magawa mtegua mabomu?
3 Reactions
4 Replies
710 Views
Back
Top Bottom