Kuna siri kubwa sana kwenye kifo.. Kifo ni fumbo lisilo na majibu mpaka leo hii
M'miss mtu aliye hai lakini yuko mbali nawe! Huyu mnaweza kuja kuonana lakini sio mfu.. Ambapo kwa baadhi ya imani...
Huwa sina muda wa kufuatilia simu ya mwanamke. Kwanza ni utoto na kutafuta kuachana. Yeye alikuwa ana behave mtu innocent na decent sana, hana wasiwasi na simu yake.
Siku moja akaniachia...
Kabla sijawapa hii story nina lalamiko langu serikali iangalie hili suala, nasafiri sana na SGR Dar-Dom ila tangu nimeanza hizo safari sijawahi kukaa siti moja na mrembo yoyote
Yaan kwenye...
Habari zenu wanaume wenzangu mlio kwenye ndoa natumaini mko salama
Nimeleta kikao hiki ili tupeane ushuhuda jinsi ya kukabiliana na hawa ndinjii ambao wamekuwa hatari sana kwenye ndoa zetu hawa...
Baada ya kudumu miaka 9 kwenye ndoa, mimi na aliyekuwa mke wangu tumeachana rasmi Leo Mbele ya ofisi ya serikali ya kijiji cha Malangari
Tumegawana mashamba pamoja na ng'ombe tuliokua nao lakini...
Wakati mwingine unakutana na mtu ukiwa na nia ya “tutacheza tu, hakuna future,” lakini kadri muda unavyopita — mazungumzo yanakuwa mazuri, vibe inakaa fresh, na ghafla moyo unaanza kuwekeza bila...
Nakumbuka kuna demu niliwahi kuwa nae nilikuwaga namkubali sana nikijisemea hapa nimefika
katika kuishi nae sikuwa na mazoea ya kupekua wala kutumia simu yake ila niliwahi kuijua password yake...
Kwema wakuu
Nikiona mtu anamuambia mtu asinywe pombe namuona kama ana matatizo ya akili.
Hapo unakuta
1.Anakunywa Ernegy
2.Soda Pepsii Bariidi
3.Anapenda wanawake balaa
4.Anakula Gomba na...
Leo nimechoka choka tu, sijui kwa sababu tunaianza wkend? Nashawishika niende maeneo ya muziki muziki huku moja baridi moja moto, angalau siku ipite.
Natafuta kampani ya mrembo mkali kuliko wote...
Nina omba msamaha kwa uongozi wa CHAPUTA kwa hili kosa. Jana nimeingia kwenye app ya tagged nikapata manzi na tukaelewana bei, Sasa leo nikamcheki aje kasema nimtumie nauli, nikatuma akasema...
Hell
Kuna wale watu wapo single mda mrefu sana wana kuwa na kaushauri fulani hivi wa kimbea na unafiki utasikia
Wewe utulii na mwanamke mmoja kuna Ukimwi , gono, UTI au una hisi mimi sina upwiru...
Kwenye kufanya mapenzi mara nyingi wanawake wanafaidi zaidi kuliko wanaume.
Wakisuguliwa ni utamu wa hali ya juu, wakikojolewa yaani hadi mashetani yatapanda, wakikojoa wenyewe yaani hadi neno...
Kuna muda nakaa chini na kufikiria kwa umakini sana kichwani mwangu, upendo wa kweli ni hadithi za kufikilika zisizo na ukweli ndani yake au ni kweli upendo wa thati upo katika maisha yetu...
Sina haja ya kuwasalimia coz mara nyingi huwa hamuitikii.
Sisi wanaume wenye wake wasiokunywa pombe tunapitia wakti mgumu sana.
Tunaongozana vizuri kwenda bar kuinjoy life but kufika huko bar...
Nipo Tanga kwenye shughuli flani.
Kwanza huu mkoa wao kila siku ni burudani tu,hawana stress za maisha kabisa.
Kilichonivunja nguvu kabisa ni hiki,huku Tanga mziki wao mkubwa ni taarabu.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.