Jana nilibubujikwa na machozi ya huzuni baada ya kukataliwa na mdada fulani kisa kanizidi miaka miwili.
Nilikaa nikajiuliza kwa hiyo hii miaka miwili inatufanya nisitimize adhma yangu ya kuwa nae...
Unakuta umezaa na mdada ila kila ukimuomba mtoto aje anakataa unapewa sababu ambazo hazina msingi wowote.
Yaani anataka uwe unatuma tu pesa ya matumizi ila kumchukua mtoto hataki, na hizo hela ni...
Mara nyingi mahusiano kati ya baba na mtoto huwa sio mzuri haswa kwa wazazi waliokwisha tengana.
Hili suala nimelifatilia kwa kina kabisa wala sibahatishi, unakuta mama anamsema vibaya baba wa...
Wakuu,
Sote tukubaliane kuwa ktk ndoa mwanaume inampasa angalau awe na mchepuko angalau wa nje ili kuendelea kulinda ndoa yake tofauti na hapo ndoa itavunjika tu hata iweje.
Mara nyingi jambo...
Wakuu,
Namshukuru sana Mungu kwa kumfanya mama awe na moyo wa uvumilivu mpaka ameacha kuzaa sisi watoto wake wote ni wa baba mmoja.
hii ni nzuri sana inasababisha kutokuwepo kwa mgogoro na...
10 Types of Men You Must Never Date
As a woman, when discussing your ideal partner, it's important to set aside superficial traits like being tall, dark, handsome, having pink lips, being rich...
Jamani ndugu zangu naombeni mnisaidie mawazo kidogo mimi nimeoa mke mmoja na nina watoto wawili tu but katika pilika pilika za maisha nimejikuta nina michepuko miwili ambayo kiukweli naipenda sana...
"Hakuna Mwanaume ambaye hana Uume wa kutosha kumfikisha Kileleni Mwanamke yoyote kwakuwa Kiutaalam Mwanamke anatosheka tu na Uume wa kuanzia inchi Mbili kitu ambacho Wanaume wote Maumbile yao...
Wakuu
1. Mazoea uliyojenga nae ya muda mrefu yanadumaza adhma yenu ya kuoana,zinduka chukua hatua sasa.
2. Kama umemzalisha na bado yupo kwao huyo tayari kuna asilimia/uwezekano mkubwa wa...
🕌 MUHTASARI: SIFA ZA MWANAMKE MWEMA KWA AJILI YA NDOA (KWA MUJIBU WA QUR’AN NA SUNNAH)
1. Mwenye Imani na Uchamungu (Taqwa)
Qur’an:
An-Nur 24:26 —
“Wanawake wema ni kwa wanaume wema, na wanaume...
QUEEN: BORA DR. MWAKA VIJANA HAPANA
_
Msanii wa bongo Movie Queen Masanja ambaye ni Ex-Wife wa Dr. Juma Mwaka amesema bora arudiane na mumewe kuliko kuendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na...
Oyaa wakuu
Wazee sijui hawanielewi
Wamenipa 2 yrs nipeleke babe mama,
baada ya kuwa sister kachumbiwa maan tuko wawili tu, nilibaki nachekacheka tu.
Hawajui nimeshapigwa na vitu vizito na hawa...
MAkosa ya kiufund yapo kila mahal hapa wahenga walikosea sanaa
Pale wanaposema mwanamke mpumbavy hujenga ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe ni makosa kinachojenga ndoa ni mdomo sio mikono hata...
1. ✈️ Simu kindege “flight mode” kila mkiwa pamoja.
Anaepuka mawasiliano ya “side guys" —bro, hiyo ni red flag ya kimataifa.
2. 📵 “Usinipost please”
Anaogopa kupostiwa kama vile mwanaharakati...
Kwa kipindi cha mda mrefu nimekuwa nikisikia na kushuhudia kesi zinazohusu ukwepaji wa matunzo kwa watoto zikiwakabili wanaume baada ya kutengana na wapenzi wao waliojaaliwa kupata mtoto au watoto...
Kuna uhusiano gani wa kisaikolojia kwa wanawake wenye elimu, wajuaji,wanaojiona wazuri,wenye mambo mengi au kujiona wajanja wa mjini,kuishia na wanaume dhaifu kwa maana wanaume ambao siku za nyuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.