Niende moja kwa moja kwenye Kusimulia.Bila shaka kila mtu amepitia utoto na katika utoto huo pengine alikuwa na tabia fulani mbaya mbaya.
Kwa upande wangu moja ya tabia mbaya niliyokuwa nayo...
Habar wana jf
Kuna wimbi kubwa sana la wanawake kwa wanaume kutafuta wachumba ama wapenzi ktk social Media hasa hapa jf.
Binafsi nimekuwa nikijiuliza ni kweli wapo watu ambao wamefanikiwa...
Yaani hawa wake zetu sijui wapendwe vipi,mtu anahudumiwa na mmewe lakini bado tamaa mbele yaaani ni shida tupu.
Wadau kisa chenyewe kinaanza kama hiv: Katika pita pita kufanya shopping nikafika...
Habar mabaharia wa jf ,
Leo nimerudi kidogo na ka mkasa flani hivi
Ni mda kidg wife hayupo home ,nimekua ninaishi alone
Sasa hapa jirani kwetu kulikua na kaschana (mwanafunzi) alimzoea sna...
Heshima kwenu great thinkers
Bila kupoteza muda let me go straight to the point.
I've been looking for a beautiful girl ambae tunaeza kuwa na serious relationship and maybe later tuwe...
Wakuu msaada, Mimi na mapenzi wangu tunatumia WhatsApp sana katika mawasiliano yetu.
.Hivi Karibuni kaweka WhatsApp yake bila last seen, kwa maana ya kwamba huwezi jua yupo online au...
Habar wana jf? Nibaada ya kupokea kipgo kwa wazee wa kuweka mzigo nimechalazwa laki [emoji1787][emoji1787] hvyo tudiscuss hii maada, ngoja niende direct.
Unawezaje kummudu mwanamke anaye omba omba...
Wadau nimekuwa natatizo la kisaikolojia (Physichological Effect) Kila anapokatiza mwanamke mwenye Wowowo au makalio Makubwa yani moyo huwa unaenda mbio Sana huku nikibaki namshangaa....
Wakuu...
Sipo kwenye ndoa japo najiandaa kuwa namke. Niwe mkweli nikwamba nimeishapata mtoto wa nje tatizo langu kubwa nikushindwa kufikia maamuzi ya yupi nimuoe.
Mdada niliyezaa naye miaka mitatu...
Huyu kijana ambae ni kaka mshikaji kiaina kwa sasa baba yake alikua mfanya biashara. Biashara ilianza kunenepa wakati wa awamu wa pili, awamu ya tatu biashara ilikua nzuri kiasi ambacho msure...
Naenda kwenye Maada
Juzi tumelala na mwanamke wangu mda huo mimi npo kwenye usingizi mara nasikia saut ya mtu analia nikaamka taratibu nikaona mke wangu yupo kwenye doto akiota anafanya mapezi...
Habari wakuu, Tujipongeze kwa harakati za kujenga Tanzania yenye viwanda
Twende moja kwa moja kwenye mada yetu,wazee wa kuuza mechi za ugenini, kavukavu bila soksi
Hivi unajickiaje unaruka na...
Nataka kuvuka boder wakuu kwenda kuemea manzi wa kitusi Sasa sijajua background zao
Kwa wale wandugu wanao wajua in out hawa viumbe wa kitusi ebu nipen details zao na behavior zao wakoje maisha...
Ndugu yetu Abdulkarim anaomba msaada wa kimawazo kwenu wadau (masheikh na mapadri) mlioko humu ndani.
Yeye alikuwa ni muislam mzuri kabisa aliyefanikiwa kuoa wanawake watatu kama dini yake...
Kwa kweli najiuliza maswali ambayo labda wadau humu mtakuwa na majibu.
Mwanamke anatoa wapi na anapata wapi ujasiri wa kuwa na kufuga kitambi?
Mwanamke anakosa haya kabisa wala aibu anakuwa na...
Watu wengi walioshi nchi za nje ya Tanzania
hata nchi za Africa tu kama sisi wanasema hiki kitu
tunacho zaidi watanzania..ni kama utamaduni hivi''
Ntakupa mifano hai ambayo binafsi nimeshuhudia...
Huyu dada tupo naye ofisini. Of course hana cheo kikubwa lakini anapata kamshahara ka kumwezesha kumiliki gari za Mjapani mbili. Ana Toyota Harrier mnazosema new model na Mark X.
Alinambia...
Wakuu naomba msahau mengine yote afu tu concentrate na hii kitu,,wazee wa kuchimbua makaburi tafadhalini sana,haya ni maisha tu na tunapitia na kufanya vitu vingi,,na mkumbuke mimi ni binadamu wa...