Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,142
- 64,168
Ananipa mapenzi yote bila kipimo...
Huyu mdada nimekuwa naye kimahusiano zaidi ya miezi sita sasa, yeye ni mke wa mtu nami ni mume wa mtu. Akija kwangu atanihudumia kama mumewe mfano kufua, kupika, kufanya usafi, kunipa tendo staili zote bila kipimo n.k
Amekuwa ni mtu wa kunipa furaha na kunichangamsha hasa pale ninapokuwa mpweke. Changamoto iliyopo ni kuwa, uhusiano wetu hauna 'future' zaidi ya kupeana raha tu kwa sasa. Hofu yangu ni kuwa, nitaishije ifikapo muda wa huyo bi mdogo kuondoka na kurejea kwenye mji wake wakati mi nimeshamzoea? Najihisi nitakuwa 'lonely' sana.