Je ndoa inapovunjika Mahali inarudi..?

Je ndoa inapovunjika Mahali inarudi..?

Liverpool_Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2019
Posts
1,220
Reaction score
1,417
Ndio....

Sheria inaweka bayana kwamba endapo ndoa itavunjika basi MAHALI ITARUDI.

Hii ni kwa mujibu wa sheria ya kimila ya Hali ya watu, pia imerejewa na uamuzi wa Makupila Chalo Vs Mninda Mdama Daawa No. 120, Mwaka 1995.

Pia katika hukumu ya Maagwi Kimito Vs Gibeni Werema, Madai No. 132 ya mwaka 1985.

VIJANA KAZI KWENU, MSIOGOPE KUOA ""MAHALI INARUDI MKISHINDWANA""

#YNWA
#ASANTE
 
Wee mwnamke akishamchoka anachotaka ni kufukuza tuu ata hiyo mahali huna mpango nayo kabisa.
Unatupa nje unaingiza kifaa kipya
 
What is mahari by the way, bride price....!!!

If its a bill return the receipt for one to be refunded. And if you paid the brideprice without receiving a government receipt and yet you expect the same government law to let/assist you being refunded.....

Labda uwakute wastaarabu, ukiwakuta familia watata kama Kasinde utatafuta kulipa faini badala ya kurudishiwa the said bride price.

By the way, is it mahari or mahali..... May be you meant something else....

Platimum Matata.
 
Ndio....

Sheria inaweka bayana kwamba endapo ndoa itavunjika basi MAHALI ITARUDI.

Hii ni kwa mujibu wa sheria ya kimila ya Hali ya watu, pia imerejewa na uamuzi wa Makupila Chalo Vs Mninda Mdama Daawa No. 120, Mwaka 1995.

Pia katika hukumu ya Maagwi Kimito Vs Gibeni Werema, Madai No. 132 ya mwaka 1985.

VIJANA KAZI KWENU, MSIOGOPE KUOA ""MAHALI INARUDI MKISHINDWANA""

#YNWA
#ASANTE
Ndoa inapovunjika. Ile juice uliyokuwa unamvujisha mtoto wa watu utairusha mwilini mwake ?
 
Hiyo Ni andhaa kanoon... Kama ng'ombe walijifia zamani... Hela tukanywea ugimbi... Blanketi mtoto kakojolea tunarudishaje kwa mfano. Nani anarudisha mzazi au binti?
Binti kachoka kipigo kila siku anavimbishwa harafu eti mahali arudishe?
Hiyo Ni andhaa kanoon Sheria kipofu haioni
 
kama mahari itarudi na wewe mrudishie mnato wake au bikira yake

uislamu umehukumu vizuri sana na bwana mtume akasemaa..

ولا تأخذوا مما آتيتموهن شيءا

"wala msichukue chochote katika vile ambavyo mumewapaa kablaa..

mwanamke ukimuoa na ukamuingiliaa asi mahari hairudi.

sio ustaarabu sheria zingine kandamizi kwa mwanamke.

yani umemtumia na kumfaidi alafu ukimuacha unataka mahari irudi..?
Sheria imesema... Achana na hizo Dini..

Nchi yetu inaendeshwa na sheria sio DINI..
 
What is mahari by the way, bride price....!!!

If its a bill return the receipt for one to be refunded. And if you paid the brideprice without receiving a government receipt and yet you expect the same government law to let/assist you being refunded.....

Labda uwakute wastaarabu, ukiwakuta familia watata kama Kasinde utatafuta kulipa faini badala ya kurudishiwa the said bride price.

By the way, is it mahari or mahali..... May be you meant something else....

Platimum Matata.
Hakuna mtata aliye juu ya SHERIA..

MAHAKAMA ita hukumu na si UTATA wala UPOLE
 
Back
Top Bottom